radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Ondoa hofu chelsea timu kubwa
Ondoa hofu chelsea timu kubwa
Kama Ni kweli. Itakuwa pouwa SanaCallum Hudson-Odoi's transfer request rejected by Chelsea
The youngster accepted to stay at Chelsea to the end of the season
Chelsea will have to prove in the next 4 months that they need CHO service by giving him more time to play EPL matches
Hahahahaha toka kupigania ubingwa hadi top 4 chelsea raha sana
Kwani wewe unapigania nini mkuu..??Hahahahaha toka kupigania ubingwa hadi top 4 chelsea raha sana
Nafasi ya 6
Kama wewe kweli ni Chelsea na unaangalia mpira utakuwa umegundua mfumo sio tatizo Bali namna ya kumalizia pale mbeleJapo ni shabiki mkubwa wa Chelsea lakini kwa mwenendo wa kocha Sarri nimekata tamaa kabisa..toka tutoke Sare na Everton niliona mapungufu kwa upande wa Sarri kwa mfumo anao utumia ni ngu.u sana Chelsea Kutamba.. Team inapiga pasi nyingi zisizo na Madhara kwa wapimzani na pia mipira kumfikia Streika imekua ni ngumu sana ndio maana unakuta muda mwingine Streika inabidi atoke nje ya 18 ili kuweza kugusa mpira ama na kuingia nao ndani mwenyewe lakini kupata zile pande ni ngumu sana..naona hata tungekua na Aubameyang au Kane bado wangeonekana ni Magarasa
Sarri anatakiwa kubadili mfumo wa uchezaji wa timu kwa kweli Tazama hata timu inapozidiwa kabisa yeye abadiliki anachofanya ni mabadiliko ya wachezaji tu Sub lakini kimbinu na mfumo ubaki vile vile mwisho wa siku tunaambulia sare naweza sema tunashinda kwa uwezo wa wachezaji lakini mwalimu Ovyo kabisa Bora tuwe na Rekodi ya kufukuza makocha lakini Sarri aondoke mapema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu huu hakuna ubishi mlishinda mech 12 kilichoanza kutokea pumba zikaanza kujichucha na mchele hata natasi ya 4 Mungu saidia
Tatizo sio mbele peke yake, pia kuna shida ya Jorginho akicheza mechi nyingi anakuwa wa hovyo sana, tukimpata replacement ya Fab wa level yake au juu Zaidi Chelsea inaweza sasa kurelax. Yaani timu tuna akina Pedro, Willian, Hazard na sasa Odoi ma Higuaín halafu tuendelee kuamini kuwa tatizo liko mbele wakati watoa huduma hawapo, aliyekuwa anajitahidi ni Luiz pekee. Enzi tunachukua ubingwa wakati wa MOU na Conte, Fab alikuwa kwenye top form yake alikuwa akifanya dangerous passing na ikatuwezesha kutwaa ubingwa. Sasa Fab hayuko tena yupo Jorgninho?? Tungempata parades au hata Eriksen ingesaidia sana timu kukamilika kutoka nyuma hadi mbeleKama wewe kweli ni Chelsea na unaangalia mpira utakuwa umegundua mfumo sio tatizo Bali namna ya kumalizia pale mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya mwisho umemfunga chelsea darajani ilkua mwka gan?Naona munajifariji ingawa ukweli munaujua kuwa tunakujq kuwafungisha virago ...maana kiukweli hamna mpila wa kutufunga maybe mupate sare hapo kwenu lakini hata mukipata sare haitasaidia maana marudiano bado tutawafunga...inatqo
kiwa mukubaliane na ukweli nyie sasa HV hata Watford hawawaogopi...mumekuwa kama joka la kibisa...Muna wakati ngumu sana...maana kama arsenal tu wanawapiga cap ...sijajua idadi ya magoli na beki zenu nyanya ! So beware!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana pamoja na Chelsea yetu mbovu tuliwanyuka fainali mkamaliza tupu na wachezaji merely walewale ambao leo mnaowaringia. Ni kocha tu ndie kabadilikaNaona munajifariji ingawa ukweli munaujua kuwa tunakujq kuwafungisha virago ...maana kiukweli hamna mpila wa kutufunga maybe mupate sare hapo kwenu lakini hata mukipata sare haitasaidia maana marudiano bado tutawafunga...inatqo
kiwa mukubaliane na ukweli nyie sasa HV hata Watford hawawaogopi...mumekuwa kama joka la kibisa...Muna wakati ngumu sana...maana kama arsenal tu wanawapiga cap ...sijajua idadi ya magoli na beki zenu nyanya ! So beware!
Sent using Jamii Forums mobile app