Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Chelsea in February:
Huddersfield H
Man City A
Malmo A
Man Utd H
Malmo H
Man City N
Tottenham H
Huddersfield H
Man City A
Malmo A
Man Utd H
Malmo H
Man City N
Tottenham H
Jamaa jinga sana.Hatusapoti mashoga sisi. Mwanaume kamili hawezi kuongea kauli kama hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo mama tunazila nyingi sana.Hapo Man u tunawatoa mapema kabisa
Ila hao wanaosimaia FA Cup wana mpango wa timu ndogo kuchukua kombe nini, mara Man U na Arsenal poor Arsenal wameaga, mara tena Man U na Chelsea, poor Man United wameaga, itabaki Chelsea na Brentford finale
Naona munajifariji ingawa ukweli munaujua kuwa tunakujq kuwafungisha virago ...maana kiukweli hamna mpila wa kutufunga maybe mupate sare hapo kwenu lakini hata mukipata sare haitasaidia maana marudiano bado tutawafunga...inatqoHapo Man u tunawatoa mapema kabisa
Give me a break unaongea au unakariri. Ebu ongea sasa achana na ngonjera hizo zilipendwaNaona munajifariji ingawa ukweli munaujua kuwa tunakujq kuwafungisha virago ...maana kiukweli hamna mpila wa kutufunga maybe mupate sare hapo kwenu lakini hata mukipata sare haitasaidia maana marudiano bado tutawafunga...inatqo
kiwa mukubaliane na ukweli nyie sasa HV hata Watford hawawaogopi...mumekuwa kama joka la kibisa...Muna wakati ngumu sana...maana kama arsenal tu wanawapiga cap ...sijajua idadi ya magoli na beki zenu nyanya ! So beware!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa nguruwe pori nilikua nawatamani sana16th Feb:
Chelsea vs. Man Utd
Mmefungwa had na aseno ndo mtawaweza man u?
Mmefungwa had na aseno ndo mtawaweza man u?
Kwa hiyo Man city wamefungwa hadi na Crystal Palace ndio hawatawaweza? haa haa, inachekesha . Mpira ungekuwa unaamuliwa na ndoto za mchana kama zako kusingekuwa na haja ya mechiMmefungwa had na aseno ndo mtawaweza man u?
yani hawa Spurs wako hoi na majeruh halafu wamuuze tena Eriksen?!!, rumours nyingine sio kabisaSiku mbili zimebaki
Hakuna replacement ya Fab
Jorginho anaweza kufiua uwanjani
Rumors: Christian Eriksen to Chelsea
unatumia akili gani wewe, mpira haupo hivyo usikaririMmefungwa had na aseno ndo mtawaweza man u?