lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,487
Eriksen ndiye anayetaka kutokayani hawa Spurs wako hoi na majeruh halafu wamuuze tena Eriksen?!!, rumours nyingine sio kabisa
Eriksen ndiye anayetaka kutokayani hawa Spurs wako hoi na majeruh halafu wamuuze tena Eriksen?!!, rumours nyingine sio kabisa
Sawa lakini spurs hawawezi mtoa kirahisi hivyo ukizingatia hali waliyo nayo sasaEriksen ndiye anayetaka kutoka
Hata hivyo sio January, hii move ni ya kiangaziSawa lakini spurs hawawezi mtoa kirahisi hivyo ukizingatia hali waliyo nayo sasa
hapo sawa. Ila nakumbuka ile transfer ya Luka Modric alitaka aje Chelsea ila Dani Levi ni mnoko sidhani kama atamuuza Chelsea labda club nyingineHata hivyo sio January, hii move ni ya kiangazi
Hahahaha hii spost inachekesha sana yaani ile timu yenye mgomo martial kakusasambua hapo hapo kwako mkasawazisha dakaka ya 96 huko makocha walikimbia kama vichaa mechi ya kumi utasema ya 38 bado unaleta dharau?

Nguruwe pori nayo ni timu?
Umepata sasa mwenye dharau
Nguruwe pori
Man City umemuacha wapi ?Ila hao wanaosimamia michuano ya FA Cup wana mpango wa timu ndogo kuchukua kombe nini, mara Man U na Arsenal poor Arsenal wameaga, mara tena Man U na Chelsea, poor Man United wameaga, itabaki Chelsea na Brentford finale
Kama nilivyokwambia post za nyuma hatuna tunachopigania nyie paniaeni tu hata mechi ya arsenal si mliwapigia kelele kilichowakuta mnakijua wenyewe
Kama umenielewa vizuri. Mi sijali kuhusu matokeo ila natamani tukutane tu. Japo lengo kuu ni kupata matokeo chanya.Kama nilivyokwambia post za nyuma hatuna tunachopigania nyie paniaeni tu hata mechi ya arsenal si mliwapigia kelele kilichowakuta mnakijua wenyewe
Utapata tu matokeo chanyaKama umenielewa vizuri. Mi sijali kuhusu matokeo ila natamani tukutane tu. Japo lengo kuu ni kupata matokeo chanya.
Wacha tukutane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa 100%