Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Higuain “it’s a real source of pride for me and I hope to make the most of it."
Olachuga kuna kitu kinaitwa kufit in kwenye mfumo. Higuaín popularity yake kaipata kwa Sarri. Ndio mchezaji aliweza kuijua na kuipenda mfumo wa Sari. Hawa wengine sio kana kwamba ni wabaya, lakini wameshindwa kufit in kwenye mfumo wa kocha. Na kocha pia anawajua watu wanaoweza kufit in kwenye mfumo wake na ndio maana kocha anatakiwa kusikilizwa anapopendekeza nani asajiliwe kwenye position ipi.Huu usajili wa Higuan sijauelewa kabisa. Sioni tofauti yake na akina Morata au Giroud ..uku tuna mbatshway, Abraham, Odoi, Kennedy afu tunachukua mazee na kuzid kuyajaza kweny timu. Kazi kupeleka madogo kwa mkopo na badae tunaishia kuwauza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae Hazard atakua huru kucheza namba yake pembeni
the Legend☆
Pona pona yao ilikua ni kumkuta chelsea hayupo vizuri siku ile. Ila kama ningekua Sarri badiliko ambalo ningefanya ni kumrudisha kante kwenye natural position yake, akamate dimba na kukichafua pale katiRIP timu ambazo hazijacheza na Chelsea second round, arsenal wanabahati Sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakuja apo Anfield kuchukua hizo point tatu.
Hilo halina ubishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Liverpool wanahitaji chanjo ya pepopunda. Lazima kuna kaugonjwa kanawasumbua.Liverpool reportedly held talks with Chelsea forward Callum Hudson-Odoi agent earlier in January with a view to a potential move to Anfield
Hawa Liverpool wanahitaji chanjo ya pepopunda. Lazima kuna kaugonjwa kanawasumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kheri aende Bayern hatutaumia. Solanke mmemfanya nini mpaka sasa.?Sasa endeleeni kumshawishi akubali hizo £85m/week asaini Mkataba Mpya.
Lakini kama hataki kusaini kwenye Timu yenu kwanini tusioneshe nia ya kumtaka?
Either Bayern or Liverpool iwapo hatasajili New contract.
Enewey ni tetesi tu hizo not necessary to be true
huyu ndo anakuja kushindana na wakina kompany?View attachment 1003366
Ni kheri aende Bayern hatutaumia. Solanke mmemfanya nini mpaka sasa.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hapati playing time ya kutosha utamuonea wapi.? Odoi mmeanza kumuona baada ya kupata muda wa kumtosha uwanjani.Solanke ni yeye mwenyewe kajiangusha.
Kumbuka msimu uliopita Origi na Sturridge waliondolewa kwa Mkopo ili kupewa na Faso yeye lakini hatimae Hakuonesha Talent yoyote.
Mbona Gomez katoka Charlton akiwa Mdogo kuliko Solanke na Anafanya Vizuri baada ya kupewa nafasi...
Msimu huu Tunaondosha Ings, Solanke, Origi na Strridge kwa ajili ya kumpa nafasi New Striker na Mchezaji kama Odoi.
Naona mshamchukua fat joe wa ac milan bado crouch na andy carolTutakuja apo Anfield kuchukua hizo point tatu.
Hilo halina ubishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haitajirudia tena ..Higuan apo mbele ata leta mapinduzi..Hata kwa Arsenal mulisema hivyohivyo lakini yaliyowakuta Mungu anajua
Uyo uyo atakuja kutoboa uwanja apo OT.Naona mshamchukua fat joe wa ac milan bado crouch na andy carol