Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Hahahahahapa mmeuziwa mbuzi kwenye gunia wakuu...huyu straika atachemsha kama torresView attachment 1003749
Hahahahahapa mmeuziwa mbuzi kwenye gunia wakuu...huyu straika atachemsha kama torresView attachment 1003749
Wakuu naomba mtu mwenye link nzuri anisaidie niangalie huu mpira...link niliyonayo ni qumer kabisa.Jorginho anajua sana, kante leo kakipiga namba ngap?
Download app inaitea wss2.2 kisha angalia kweny channel ya skysport main eventWakuu naomba mtu mwenye link nzuri anisaidie niangalie huu mpira...link niliyonayo ni qumer kabisa.
Asante mkuu ila naangalia kupitia kompiutaDownload app inaitea wss2.2 kisha angalia kweny channel ya skysport main event
End Justify Mean
Aaah computer sifahamu kiongoziAsante mkuu ila naangalia kupitia kompiuta
Lukaku tumfananishe na 50 cent basi.Naona mshamchukua fat joe wa ac milan bado crouch na andy carol
Hehee.. Haya sawa. Mmeibuka baada ya OGSmimi niko manchester united mkùu.
Na Lukaku je.?hapa mmeuziwa mbuzi kwenye gunia wakuu...huyu straika atachemsha kama torresView attachment 1003749
Leo kajitahidi hata kukuba kakaba kiasi ila Emerson anajitahidi
Gemu ya leo ilikuwa ni lazima tushinde mkuu. Japo bado mbele hatuna msaada sana lakini kushinda hii gemu inaweza rudisha morale ya wachezajj na kuzidi kukaza zaidi.Leo kajitahidi hata kukuba kakaba kiasi ila Emerson anajitahidi
Emerson nimemuelewa aise dogo yupo sharp sana. Inabidi Sarri amwamini tu ampe gme za kutoshaLeo kajitahidi hata kukuba kakaba kiasi ila Emerson anajitahidi