Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu EPL hakuna timu ndogo. Wolves kampiga Tot nyumbani kwake 3-1, jana kaja kapigwa na yeye kwake goli 2 bila majibu. Kwa hiyo usiutafsiri mpira ivyo kwa akili za kubet, tafsiri kwa maono ya mbali zaidi kama mtu mzima uliyekomaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida cyo hiyo, ni kwamba tot walifungwa ila walipambana, sasa nyie jana mbele mpompo tuu hampo serius na hela za tu, mwambiez Sarri sigara zinamponza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are too theoretical, anza sasa hivi kuwafuatilia uone silly mistakes wanaofanya hao Youngsters, MOU, CONTE na sasa SARRI hata ajaye hawezi kurisk mkate wake eti kwa sababu ya kuwa develop youngsters. Ligi ya Uingereza sio academy ni ligi yenye presures na kasi, ukitaka kujaribu mchezaji kijingajinga unaachwa mitaa ya Kariakoo. Ni Wenga peke yake alikuwa na roho ngumu na aliishia wapi? tuwe wakweli, Arsenal iligeuzwa kuwa academy na kocha kafukuzwa kwa sababu ya timu kutofanya vizuri. Mniwekee jina la kocha au timu inayowapa priority academy na kama inafanya vizuri!
Halafu kwani Chelsea haiwapi kabisa hao academy fursa, mbona Odoi, Loftus-cheek na wengineo wanapewa nafasi au mnataka academy yote iwe first XI
Your missing the point

1.Chelsea Club ina tatizo la kushindwa ku-develop young players tangu enzi hizo tatizo sio makocha =FACT

2.Hakuna mchezaji ambaye hafanyi mistake (Luiz,Bakayoko,Zapacosta,Rudiger,Alonso,Morata,Jorginho,Fab,Giroud,Hazard) hawafanyi mistake ? au unazungumzia mistake zipi?

3.Chelsea ni moja ya klabu ambayo inajitahidi kununua many potential young players(KDB,THazard,Manciene,Bertrand,Ake,Van Anholt,Traore,Solanke) lakini wanashindwa kuwa-integrate kwenye first timu yao

4.Do you know kuwa RLC aliwaambia kama hachezi January ataondoka ikabidi kocha alazimike kumchezesha ili asiondoke wasubiri hatma yao kama watafungiwa kusajili and CHO timu nyingi ulaya zinamtaka now (especial Germany) ambako recently wachezaji wengi wa kingereza wanakimbilia huko sababu nafasi ya kucheza ni kubwa
 
Sarri[emoji346]: I Didn't Know Chelsea[emoji838] Would Sign Pulisic

Chelsea manager Maurizio Sarri has admitted he was in the dark over the club's signing of Christian Pulisic.

Sarri did say, however, that he had been consulted on the transfer around a month before the move went through.

“I didn’t know anything about [signing] Pulisic yesterday," Sarri told the BBC following Chelsea's 0-0 draw with Southampton on Wednesday.

"They asked my opinion about him one month ago. My opinion was positive and today I knew that the deal is done but I didn’t know anything."

The Italian reiterated that he doesn't involve himself in the club's transfer business much, instead focusing on matters taking place on the pitch.

“I am not in charge of the market so I have to tend to my matches and play every three days. I can only say my opinion to the club," Sarri said

Kocha kutohusika kwenye usajili Chelsea tunakosea sana
kwani kutoa maoni kuwa mchezaji x ni mzuri sio kuhusika?au hadi yeye ndio aanze kubagain bei ndio kuhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your missing the point

1.Chelsea Club ina tatizo la kushindwa ku-develop young players tangu enzi hizo tatizo sio makocha =FACT

2.Hakuna mchezaji ambaye hafanyi mistake (Luiz,Bakayoko,Zapacosta,Rudiger,Alonso,Morata,Jorginho,Fab,Giroud,Hazard) hawafanyi mistake ? au unazungumzia mistake zipi?

3.Chelsea ni moja ya klabu ambayo inajitahidi kununua many potential young players(KDB,THazard,Manciene,Bertrand,Ake,Van Anholt,Traore,Solanke) lakini wanashindwa kuwa-integrate kwenye first timu yao

4.Do you know kuwa RLC aliwaambia kama hachezi January ataondoka ikabidi kocha alazimike kumchezesha ili asiondoke wasubiri hatma yao kama watafungiwa kusajili and CHO timu nyingi ulaya zinamtaka now (especial Germany) ambako recently wachezaji wengi wa kingereza wanakimbilia huko sababu nafasi ya kucheza ni kubwa
I do not agree with you, mistakes zinatofautiana, First mistakes za akina Luiz ni tofauti kabisa na za akina andreas, hawa dogo mistakes zao ziko kwenye poor judgement wanapokuwana mpira
Na unaposema makocha hawahusiki, ni nani basi anahusika, kocha ndie anaamua kuchezesha mchezaji au amweke bench
Loftus cheek hachezeshwi kwa sababu kasema january anaondoka, kocha akishakuwa anafanya kazi kwa kutishiwa na wachezaji basi tena huyo sio kocha ni zeze. Andreas naye kashasema asipopata mechi nyingi ataondoka January, mbona hajapewa mechi yeyote ispokuwa karabao na Europa!. Odoi hajasema lakini mbona anapewa mechi
 
Mimi nilikuwa fan mkubwa sana wa Andreas lakini baada ya ile silly mistake kati ya Che na Barca iliyoigharimu timu mimi kwa sasa hivi basi, afanye vizuri kwanza kule karabao na Europa ndio tumfikirie huku kwenye mwendo kasi. Hata kule Europa amekuwa akitoa pasi katika maeneo ya hatari golini ambazo zinaishia kwenye miguu ya opponents halafu unasema tumpe dhamana ya EPL ambayo hata akina Fulam ukikosea kisembe wanakutundika magoli. No makocha wanapoogopa wana maanisha haya ninayoyasema. Afterall Sarri anaelewa dynamics za mazoezi na uwanjani kuliko sisi, tuwasikilize wao. Kama andreas anafaa atapewa mechi. Kama hafai atakaa bench,. Najua Adnreas na hao wengine sio lazima iwe wote watakuja kuwa wachezaji wazuri sana ndani ya Chelsea au nje ya Chelsea kama walivyo akina Salah, De Bruyne, Lukaku nk
 
I do not agree with you, mistakes zinatofautiana, First mistakes za akina Luiz ni tofauti kabisa na za akina andreas, hawa dogo mistakes zao ziko kwenye poor judgement wanapokuwana mpira
Na unaposema makocha hawahusiki, ni nani basi anahusika, kocha ndie anaamua kuchezesha mchezaji au amweke bench
Loftus cheek hachezeshwi kwa sababu kasema january anaondoka, kocha akishakuwa anafanya kazi kwa kutishiwa na wachezaji basi tena huyo sio kocha ni zeze. Andreas naye kashasema asipopata mechi nyingi ataondoka January, mbona hajapewa mechi yeyote ispokuwa karabao na Europa!. Odoi hajasema lakini mbona anapewa mechi
Sijakulazimisha ukubali Jasho La Kuku ni Chelsea die fan lakini anatoa relevant opinion

Unategemea mchezaji anayecheza msimu wa Kwanza EPL awe Sawa na Luiz aliyecheza professional football from different league for more than 10 years?

Rashford/Lingard walikuwa wanafanya mistake but jinsi wanavyopewa nafasi mistake zinapungua.Even CR7 alivyotua United alikuwa anafanya mistake nyingi

KDB was better player baada ya kwenda kucheza Germany

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FT Chelsea 0-0 Southampton

Story of our season.Club in shambles.
F@k everyone at Chelsea.F&k the Players.F&k the Manager and whoever gets his ass involved in matchdays,and im Chelsea in and Out.How are we dropping points to such shitty teams like sotons?
At this rate,wont be suprised if we miss out in the Top 4 at the end of the seasons.SarriBall is turning into Horriball,lots of useless and nonsense sideway passes.
Tired of this blunt and dull team.
Im horribly angry over this draw

Sent using JF For iPhones
yani hapo nimeambulia kimoja tu "sarriball is turning into horriball"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakulazimisha ukubali Jasho La Kuku ni Chelsea die fan lakini anatoa relevant opinion

Unategemea mchezaji anayecheza msimu wa Kwanza EPL awe Sawa na Luiz aliyecheza professional football from different league for more than 10 years?

Rashford/Lingard walikuwa wanafanya mistake but jinsi wanavyopewa nafasi mistake zinapungua.Even CR7 alivyotua United alikuwa anafanya mistake nyingi

KDB was better player baada ya kwenda kucheza Germany

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Chelsea haiwapi nafasi au unataka academy yote ipewe first XI
 
Mkuu niliwahi kusema hapo kabla. Toka aondoke Emenalo katika masuala ya usajili huwa tunafanya fyongo mno. Sijui ni kwa nini hiki hawakioni. Tuna striker Tammy Abraham yuko Aston Villa ndio anaonhoza kwa magoli huko kacheza mechi 20 kapiga goli 16 lakini unaweza kushangaa msimu ukiisha anatafutiwa timu nyingine kwa ajili ya mkopo na wakati huyo dogo anaweza kutusaidia kuliko kukaa na kina Morata useless. Yan tupotupo tu hatuna nguvu tena kwenye usajili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naikumbuka hii statement, nimeona zile tweet posts za Jasho La Kuku Sarri analalamika sana kuhusu usajili, na mara zote akisema siyo yeye anayehusika.
 
Sarri[emoji346]: I Didn't Know Chelsea[emoji838] Would Sign Pulisic

Chelsea manager Maurizio Sarri has admitted he was in the dark over the club's signing of Christian Pulisic.

Sarri did say, however, that he had been consulted on the transfer around a month before the move went through.

“I didn’t know anything about [signing] Pulisic yesterday," Sarri told the BBC following Chelsea's 0-0 draw with Southampton on Wednesday.

"They asked my opinion about him one month ago. My opinion was positive and today I knew that the deal is done but I didn’t know anything."

The Italian reiterated that he doesn't involve himself in the club's transfer business much, instead focusing on matters taking place on the pitch.

“I am not in charge of the market so I have to tend to my matches and play every three days. I can only say my opinion to the club," Sarri said

Kocha kutohusika kwenye usajili Chelsea tunakosea sana
Hii concern aliileta Mou wakati wake wa mwisho akiwa Chelsea, Conte akasema yaleyale na Sarri anarudia yaleyale. Wenzetu hasa Man City, Liverpool na Man U makocha wanajihusisha moja kwa moja katika transfer markets sisi tunaangalia kutengeneza faida tu! Hii italeta athari kwa timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni hiz sigara anazovuta. Ushakua kuwa kocha tayar, be busy na timu na cyo fegi tuu. Jana hakivuta nahic ndy mana mmetulizwa
20190103_140213_rmscr-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your missing the point

1.Chelsea Club ina tatizo la kushindwa ku-develop young players tangu enzi hizo tatizo sio makocha =FACT

2.Hakuna mchezaji ambaye hafanyi mistake (Luiz,Bakayoko,Zapacosta,Rudiger,Alonso,Morata,Jorginho,Fab,Giroud,Hazard) hawafanyi mistake ? au unazungumzia mistake zipi?

3.Chelsea ni moja ya klabu ambayo inajitahidi kununua many potential young players(KDB,THazard,Manciene,Bertrand,Ake,Van Anholt,Traore,Solanke) lakini wanashindwa kuwa-integrate kwenye first timu yao

4.Do you know kuwa RLC aliwaambia kama hachezi January ataondoka ikabidi kocha alazimike kumchezesha ili asiondoke wasubiri hatma yao kama watafungiwa kusajili and CHO timu nyingi ulaya zinamtaka now (especial Germany) ambako recently wachezaji wengi wa kingereza wanakimbilia huko sababu nafasi ya kucheza ni kubwa
Man U, Man City, Liverpool, Barça, Madrid, Bayern ni wachezaji wangapi wametoka kwenye academy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kwa upande wa Striker tuna option chache kama tunahitaji striker wa muda mrefu na mwenye umri mdogo.

Kuna Mauro Icardi, Krizstof Piatek na Timo Werner hawa kidogo umri bado na wanaweza kutusaidia kwa muda mrefu pia.

Lakini Higuan na Vardy hawa ni short-term kama ilivyokuwa kwa Olivier Giroud hawawez kupewa mkataba zaid ya miaka miwili.

Alafu tukumbuke huenda tukafungiwa na FIFA kama tutabainika tulikiuka sheria za kusajili vijana wadogo ktk academy. Kwahiyo inabidi tupate striker wa muda mrefu ambae tutakuwa tunamtegemea ktk kipindi hicho maana inasemekana huenda tukafungiwa takriban madirisha manne ya usajili hapo sawa na miaka miwili bila kusajili mchezaji.
 
Chelsea attack without Eden Hazard is on the same level as Southampton or Newcastle 😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom