Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,466
Deadwood players ni wengi
Wataje mkuu
Deadwood players ni wengi
Mfumo mbovu si wa kuwafanya watu wawe na morali ya bao bali kuchezea mpira sarr out
Kwa mpira huu basi tayari tuna point tatu za Liverpool, tatu za Man city, tatu za Tottenham, tatu za Arsenal, tatu za Man united.
Sioni Kama tuna mpira wa kushinda mbele ya hizo timu.
Hii January tunaeza tusivuke salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukimalizana na Spurs.. tuna mechi mteremko kama 5 hv mfululizo.. hik kikombe hamkikwepiNilitarajia matokeo haya
But bado top 4 inabaki kwa chelsea na arsenal
Man u sendoff yake inaelekea ukingoni,
Hizi timu anazotamba anazipiga ,ukwel ni kwamba hata mou angezitandika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pulisic ataattrack attention ya Wamarekani kuifatilia Chelsea. Ishu ya Morata inazipata club nyingi tu kwanza kiasi alichonunuliwa Morata hakijafika kiasi alichonunuliwa Dembele.
Chelsea mwaka huu ina profit zaidi ya £ 440. Unafikiri hizo hela inapewa kama msaada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitarajia matokeo haya
But bado top 4 inabaki kwa chelsea na arsenal
Man u sendoff yake inaelekea ukingoni,
Hizi timu anazotamba anazipiga ,ukwel ni kwamba hata mou angezitandika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui vitu unavyoongea unatoa wapi. Leo ulitarajia uta droo na Southampton halafu unasema utakuwa na mechi 5 mteremko. Ukweli ni kwamba kwa timu kama Chelsea wanapaswa kuchukua alama zote wanapocheza na timu kama SOTONTukimalizana na Spurs.. tuna mechi mteremko kama 5 hv mfululizo.. hik kikombe hamkikwepi
Sent using Jamii Forums mobile app