Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,466
Tunakuja tu wala usijali, na safari hii Daniel Sturridge hatapata bahati ya kuchomoa dk ya 89
Na safari hii nafasi za counterattack hazitakuwepo pia
Tunakuja tu wala usijali, na safari hii Daniel Sturridge hatapata bahati ya kuchomoa dk ya 89
Tunakuja tu wala usijali, na safari hii Daniel Sturridge hatapata bahati ya kuchomoa dk ya 89
Tunakuja tu wala usijali, na safari hii Daniel Sturridge hatapata bahati ya kuchomoa dk ya 89
Huyo kiwete haendi popote. AsikutisheNyie jamaa ndo mmekuja kuwaje!
Arsenal anakuja mjue.
Liverfools bhana. Mmeshajitoa nafasi ya kwanza sasa hivi mumemuachia Man CityChelsea lishakuwa genge tu hamna kitu subirini mkacheze EUROPA tena
Timu zitakazo ingia UEFA ni zile zile zilizo ingia mwaka jana
-Man city
-Liverpool
-Spurs
-man u
Ass-anal the gono na Chelshit achieni njia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea kuna laana inawatafuna. Conte ana kinyongo. Man U wananyata tuu. Pumbavu mmetembea na mkeka wangu . Hata mcheze na Biashara united, mnaeza pigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri tufanye usajili. Hatuwezi kukubali na msimu huu tukose top four.Natamani mkomae Man Utd na Arsenal wasiingie Top4, ila nyie sasa mmeamza kuharibu.
Hapana brother!! Nilieka odd 3.04 akiwepo chelsea ashinde, nkatia 37000, na wiki iliyopta mlitembea na mm tena mlishindwa kutoa 17. C ufala wa club yenu hiyooUnavyo ililia hiyo hela utafikiri ni hela kubwa usikute ni buku tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverfools bhana. Mmeshajitoa nafasi ya kwanza sasa hivi mumemuachia Man City
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri tufanye usajili. Hatuwezi kukubali na msimu huu tukose top four.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafanya vizuri na wapinzani wamedorora kwa hiyo ni nafasi yenu kuchukua ubingwa. Mkishindwa hapa hamtaweza tena. Kwa sababu Chelsea ya msimu huu haitakua sawa na msimu na msimu ujao, hao Man U hawatakuwa sawa na msimu ujao. Tot tushawazoea sasa kila msimu wako ivyo.Wap nimesema nimejitoa????
Basi tufanye nimejitoa .
Ila ukwel unaujua tyr maana ww mwenyewe ushaikubal liver kwa msimu huu kwahiyo nadhani ni kejeli zako tu hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu huu naona kama mmeu-sacrifice, kitendo cha kutoa 40+ kwa Pulisic na kumwacha huko huko wakati mna uhitaji sijakielewa.
Na kocha anahojiwa anasema haikuwa maamuzi yake, ngoja tuone kama mtapata striker wa kuwapatia magoli.
Hapana brother!! Nilieka odd 3.04 akiwepo chelsea ashinde, nkatia 37000, na wiki iliyopta mlitembea na mm tena mlishindwa kutoa 17. C ufala wa club yenu hiyoo
Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app









kitimu kidg vile kinawazingua. Pulisic angeanza labda
Kama huwezi kubet waachie wanaoweza. Pia kama huelewi maana ya kubet omba uelekezwe maana yake. Usitulete uharo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu EPL hakuna timu ndogo. Wolves kampiga Tot nyumbani kwake 3-1, jana kaja kapigwa na yeye kwake goli 2 bila majibu. Kwa hiyo usiutafsiri mpira ivyo kwa akili za kubet, tafsiri kwa maono ya mbali zaidi kama mtu mzima uliyekomaa.