Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Since Emenalo left and Marina had full control of transfers:
-Barkley
-Giroud
-Emerson
-Jorginho
-Kepa
-Kovacic
-Pulisic
-Barkley
-Giroud
-Emerson
-Jorginho
-Kepa
-Kovacic
-Pulisic
hahahaaa! so funnyPulisic: " Klopp wanted me but I hugged him before so what ?? It's not special, I want Sarri to teach me how to smoke weed". (ESPN)
Yani kwa upande wa Striker tuna option chache kama tunahitaji striker wa muda mrefu na mwenye umri mdogo.
Kuna Mauro Icardi, Krizstof Piatek na Timo Werner hawa kidogo umri bado na wanaweza kutusaidia kwa muda mrefu pia.
Lakini Higuan na Vardy hawa ni short-term kama ilivyokuwa kwa Olivier Giroud hawawez kupewa mkataba zaid ya miaka miwili.
Alafu tukumbuke huenda tukafungiwa na FIFA kama tutabainika tulikiuka sheria za kusajili vijana wadogo ktk academy. Kwahiyo inabidi tupate striker wa muda mrefu ambae tutakuwa tunamtegemea ktk kipindi hicho maana inasemekana huenda tukafungiwa takriban madirisha manne ya usajili hapo sawa na miaka miwili bila kusajili mchezaji.
Mkuu sijui ni kwa nini ila mi nachukia sana wachezaji wa mkopo hasa wanaokuja. Kama kweli unajiamini kwanini bodi isifanye usajili hiyo yote ni uoga wao wenyewe. Ni heri bodi iingie gharama kutuletea Piatek kuliko kumleta huyo Higuain. Yan bodi inafanya vitu vya kubahatisha tu.Yani kwa upande wa Striker tuna option chache kama tunahitaji striker wa muda mrefu na mwenye umri mdogo.
Kuna Mauro Icardi, Krizstof Piatek na Timo Werner hawa kidogo umri bado na wanaweza kutusaidia kwa muda mrefu pia.
Lakini Higuan na Vardy hawa ni short-term kama ilivyokuwa kwa Olivier Giroud hawawez kupewa mkataba zaid ya miaka miwili.
Alafu tukumbuke huenda tukafungiwa na FIFA kama tutabainika tulikiuka sheria za kusajili vijana wadogo ktk academy. Kwahiyo inabidi tupate striker wa muda mrefu ambae tutakuwa tunamtegemea ktk kipindi hicho maana inasemekana huenda tukafungiwa takriban madirisha manne ya usajili hapo sawa na miaka miwili bila kusajili mchezaji.
Sasa Pulisic + Lozano. Bodi inakua wapi kuwaleta watu kama hawa. Unaweza shangaa ni tetesi tu.BREAKING : Chelsea have reportedly placed a £36m bid for PSV's RW Hirving Lozano ( CalcioMercato )