Old Skuli
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 690
- 178
Hivi Marina yeye hajazuiliwa Uingereza kwa sababu za Kisiasa?
Hapana,yupo na ndo ana-run business nzima kwa niaba ya don mwenyewe
Sent using JF For iPhones
Hivi Marina yeye hajazuiliwa Uingereza kwa sababu za Kisiasa?
Upo sahihi kabisa
Sema chelsea huwa ni kama wanacheza kamari
Mara nying inawalipa ,hata kwa kepa ni kamari but imelipa, anaonesha ni ana uwezo mzuri tu,
Kwa bakayoko ,morata kamari ilifeli
Kwa pulisic ni kamari nyingine ,maana hata hapo BVB anawekwa bench sana, na BVB wamemuuza maana wana dogo anaitwa Sancho wanamuandaa kumuuza kwa bei kubwa tena kwa atakayejitokeza
Pulisic anataazamiwa kuwa moto siku za mbeleni,
Kuna mawili akawa kweli moto au akawa wakawaida bora hata ODOI,
All in all usajiri kama huu huwa ni kamari
Pulisic got benched by 2 newcomers and a LB this season...and there’s a reason why Favre let him go ahead of Sancho and Larsen and Wolf...Guerreiro is the LB that also benched Pulisic...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupigwa hapa wamepigwa, maana hata rate ya ufungaji wa magoli ni ndogo,
Huyu ni kamar maana anatazamiwa kuwika zaid huko mbeleni,
Huyu ni overprice
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani akae benchi ili Christensen apate nafasiFinally someone admit it ,sidhani kama mnakumbuka Chelsea wana beki anaitwa Andreas Christensen ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye starting 11
Labda unaongelea ushabiki,Unajua haiwezi kupigwa kirahisi kama Arsenal. Huyo jamaa hata asipofunga kuna kitu anaweza kuoffer nje ya uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Pulisic ataattrack attention ya Wamarekani kuifatilia Chelsea. Ishu ya Morata inazipata club nyingi tu kwanza kiasi alichonunuliwa Morata hakijafika kiasi alichonunuliwa Dembele.Labda unaongelea ushabiki,
Mbona morata mmepigwa ,ame offer nn nje ya uwanja?
Pulisic anaoffer nn nje ya uwanja ?
Kubali hiyo dogo hiyo ni overprice , timu nying zimemuhitaji ila sio kwa bei hiyo,
Mchezaj kuoffer vitu nje ya uwanja kuna vitu vingi na inategemea na perfomance yake, au brand ya klabu, na hasa hasa hizo klabu ni tatu tu, man u ,madrid na barca
Mchezaji anaweza kuwa ovyo na bado akaendelea kuoffer nje ya uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Pulisic ataattack attention ya Wamarekani kuifatilia Chelsea. Ishu ya Morata inazipata club nyingi tu kwanza kiasi alichonunuliwa Morata hakijafika kiasi alichonunuliwa Dembele.
Chelsea mwaka huu ina profit zaidi ya £ 440. Unafikiri hizo hela inapewa kama msaada?
Sent using Jamii Forums mobile app
But Chelsea now wananunua maana hawana uhakika kama majira ya joto/dirisha kubwa kama wataruhusiwa kusajiri au lah so bora waongeze watu wa kwenda nao msimu ujao kama watafungiwa kusajiriLabda unaongelea ushabiki,
Mbona morata mmepigwa ,ame offer nn nje ya uwanja?
Pulisic anaoffer nn nje ya uwanja ?
Kubali hiyo dogo hiyo ni overprice , timu nying zimemuhitaji ila sio kwa bei hiyo,
Mchezaj kuoffer vitu nje ya uwanja kuna vitu vingi na inategemea na perfomance yake, au brand ya klabu, na hasa hasa hizo klabu ni tatu tu, man u ,madrid na barca
Mchezaji anaweza kuwa ovyo na bado akaendelea kuoffer nje ya uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda unaongelea ushabiki,

We inakuhusu nn TORRES alifeli chelsea lakini alitufungia bao moja dhidi ya barca akalipa madeni yake yoteLabda unaongelea ushabiki,

Tulia