AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
Ww Unajifanya Unajua, Ilihali Huna Kumbukumbu, Hii Raundi Ya 2 Asee








Baadae urudi kula haya matapishiMnacheza na Crystal Palace iliyomfunga bingwa mtetez Man City wiki iyopita. Cha Muhimu ni maombi tuu. Na hakuna kitu kibaya kama kujifanya unaeza mpiga mmbwa akiwa kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hata hajui maisha yanavyoenda mkuu duh bado anashangilia mpira wa kweny magazetii
Huyu Hudson-Odoi hapaswi kuuzwa. Akiuzwa tutakuja kujutia kama tunavyojuta kumuuza Thorgan Hazard, De Bruyne, Salah, Lukaku,...Sky Sports | Bayern Munich have made a second bid, this time in excess of £20m, for #Chelsea's Callum Hudson-Odoi. #CFC
Huyu Hudson-Odoi hapaswi kuuzwa. Akiuzwa tutakuja kujutia kama tunavyojuta kumuuza Thorgan Hazard, De Bruyne, Salah, Lukaku,...
Sent using Jamii Forums mobile app
hii peleka kule FacebookPATA MIKEKA YENYE UHAKIKA MKUBWA WA USHINDI.
WASILIANA NASI KWA WHATSAP 0658642362
Sent using Jamii Forums mobile app
Yqn ndo kwanza first half ushaliwa? Mpira dkk 90Leo nimejikuta tu nawapa kwenye kubet mshinde! Naona mnataka kuondoka na hela yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
haa haa hela yako ipo salama kabisa jiandae kusoma muamala 😀😀😀😀😀😀😀Leo nimejikuta tu nawapa kwenye kubet mshinde! Naona mnataka kuondoka na hela yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo ule matapishi yako hapaMnacheza na Crystal Palace iliyomfunga bingwa mtetez Man City wiki iyopita. Cha Muhimu ni maombi tuu. Na hakuna kitu kibaya kama kujifanya unaeza mpiga mmbwa akiwa kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Raundi ya kwanza iliishia kwenye mechi za 19, hizi ni mechi za mwanzo kwenye mzunguko wa pili. Get the pointWw Unajifanya Unajua, Ilihali Huna Kumbukumbu, Hii Raundi Ya 2 Asee
Sent using Jamii Forums mobile app