Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sema inasikitishaa kubaki mpaka msimu uishe make usajili huu ulikuwa bora kwa sasa hasa kwa kuwa huyu mtu anaweza /ni mbadala wa wiliam na pedro ...sijui kwa nini wameafikiana hivo ...au ndo yale boss anataka menejaa hataki kwa sasa

Dortmund inserted a condition if he had left BVB this January the price would have been 80m,ndio maana Chelsea wakaamua kuchukua condition nyingine.

Sent using JF For iPhones
 
  • Thanks
Reactions: Lee
According to several sources. here is who Chelsea expect to leave this window :

- Moses ( Crystal Palace )
- Drinkwater
- Cahill ( Fulham - Loan )
- Zappacosta ( Lazio )
- Morata ( Only if a striker can be signed first )
- Fabregas ( Monaco )
 
Chelsea will only sell Abraham for £18m if they have a low buy-back clause inserted in the contract. He's at the very least a £25m striker already. He is English 😉
 
Chelsea Youth

1. It’s not a Sarri problem or a Conte problem or a José problem, it’s a Chelsea problem.

2. Managers can’t favor youth when their job is in jeopardy the day they sign.

3. Makes it harder when the club signs mediocre veterans unnecessarily to jump ahead of youth.
 
You are spot on

Sent using JF For iPhones
 
Genoa president Enrico Preziosi has played down suggestions Krzysztof Piatek could join Chelsea in January.
 
Hii statement nmeshangaa sana kuwa hatuna shida ya striker. Hazard kuwa false no 9 inafaida na hasara zake. Kama crosses nyingi hazna effect pale kati
Huyu Mzee akishavuta fegi zake anakuwa kama Kenge wakati wa kukimbia mvua. Timu haifungi magoli na bado anasema hana shida na strikers, hata kama hazard yupo tunahitaji mbadala, akiwa injured je, Hello Sarri come out of the box
 
Kwa hyo Odoi akianza hatutakuwa tunashinda mechi?
Youngsters wanahitaji muda mrefu kuzoeza kufunga. Tukiwazoeza hawa dogos tutakuwa kama Arsenal ya wenga. Tunawahitaji kwenye low profile games kama Karabao ili wapate ujuzi kabla ya kuwaweka kwenye XI ya EPL au mechi kubwa kama UEFA
 
Pulisic ni mchezaji mzuri Chelsea siku zote huwa ni wazuri wa kusajiri young talented players tatizo linakuja katika kuwapa nafasi ndo maana some wanaend up kuwa mastar wa timu pinzani any way kila timu ina utamaduni wake wa kufanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea Youth

1. It’s not a Sarri problem or a Conte problem or a José problem, it’s a Chelsea problem.

2. Managers can’t favor youth when their job is in jeopardy the day they sign.

3. Makes it harder when the club signs mediocre veterans unnecessarily to jump ahead of youth.
Finally someone admit it ,sidhani kama mnakumbuka Chelsea wana beki anaitwa Andreas Christensen ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye starting 11
 
Icardi,Koulibaly no chance

Our board has never been competent kwenye usajili,a reason why we need a DoF.Marina anazingua sana
Expect Wilson/Higuain
The below par players are what we are made of

Sent using JF For iPhones
Hivi Marina yeye hajazuiliwa Uingereza kwa sababu za Kisiasa?
 
Yani nyie wajinga mna tamaa sana, yan kila mchezaj ambaye liver anaonesha interest na nyie lazima mumtake. Hii ndio sababu team yenu inafeli sana sababu hamna macho ya kuona nani anawafaa ila mnasubir mpaka wengine wamuone nyie ndo mumuone.
Hivi kati ya Liverpool na Chelsea who is a failure, au mwaka huu mmebahatika kumsindikiza bingwa kwa kutangulia mbele ndio mnatamba eh!
 
Finally someone admit it ,sidhani kama mnakumbuka Chelsea wana beki anaitwa Andreas Christensen ambaye msimu uliopita alikuwa kwenye starting 11
Hawa dogos sio wa kuwaendekeza, wanahitaji kukua. Hakuna big team ambayo imewajaza uwanjani hao makinda. Timu ikiwajaza hawatakaa washinde. Sarri kasema vizuri kuwa mashabiki wanawapenda makinda wacheze lakini hao hao mashabiki timu isiposhinda watapiga makelele mpaka kocha atimuliwe. Kuhusu Andreas alifanya vizuri sana mechi za mwanzo za Conte lakini alikuja kutibua na ile pasi fyongo kutoka kushoto mwa uwanja hadi kulia na kumpa mfungaji afunge. Nafikiri ilikuwa UEFA Chelsea na Barcelona Feb 2018 ambamo Chelsea ilikuwa ikiongoza kwa goli moja lililofungwa na Willian. Mistake hiyo ndio iliyomgharimu. Nimemfuatilia baada ya hapo bado sio mzuri kwenye decision making akiwa na mpira, hachukui tahadhari hata kama hayupo kwenye pressure utamshangaa tu anaweza kuamua just like a teenage. wachezaji wengi wa academy wana tatizo kama la Andreas kwenye maamuzi ambayo ndiyo mara nyingi hucost timu. Wanatakiwa kupewa limited chances ili waonyeshe kama wamekomaa kama anavyopewa Loftus Cheek na Odoi
 
Sema inasikitishaa kubaki mpaka msimu uishe make usajili huu ulikuwa bora kwa sasa hasa kwa kuwa huyu mtu anaweza /ni mbadala wa wiliam na pedro ...sijui kwa nini wameafikiana hivo ...au ndo yale boss anataka menejaa hataki kwa sasa
Ndio makubaliano ya manunuzi, kiangazi sio mbali
 
Hawa dogos sio wa kuwaendekeza, wanahitaji kukua. Hakuna big team ambayo imewajaza uwanjani hao makinda. Timu ikiwajaza hawatakaa washinde. Sarri kasema vizuri kuwa mashabiki wanawapenda makinda wacheze lakini hao hao mashabiki timu isiposhinda watapiga makelele mpaka kocha atimuliwe. Kuhusu Andreas alifanya vizuri sana mechi za mwanzo za Conte lakini alikuja kutibua na ile pasi fyongo kutoka kushoto mwa uwanja hadi kulia na kumpa mfungaji afunge. Nafikiri ilikuwa UEFA Chelsea na Barcelona Feb 2018 ambamo Chelsea ilikuwa ikiongoza kwa goli moja lililofungwa na Willian. Mistake hiyo ndio iliyomgharimu. Nimemfuatilia baada ya hapo bado sio mzuri kwenye decision making akiwa na mpira, hachukui tahadhari hata kama hayupo kwenye pressure utamshangaa tu anaweza kuamua just like a teenage. wachezaji wengi wa academy wana tatizo kama la Andreas kwenye maamuzi ambayo ndiyo mara nyingi hucost timu. Wanatakiwa kupewa limited chances ili waonyeshe kama wamekomaa kama anavyopewa Loftus Cheek na Odoi
Tatizo Chelsea sio timu ya ku-develop young players ndio maana wana wachezaji zaidi ya 20 wanaocheza kwa mkopo na baadae watauzwa huwa nashangaa Mourinho anavyolaumiwa kuwa aliwauza Salah & De Bruyne

Christiansen hakuwa mchezaji mbovu kama unavyomueleza na kumbuka ndio ulikuwa msimu wake wa kwanza Chelsea na alicheza jumla ya mechi 40 pia kwenye WC alicheza mechi zote za Denmark Mbona kina Alonso,Willian,Morata pamoja na kuchemsha mbona wanachezeshwa?

Licha ya mafanikio ya karibuni Real Madrid haikununua wachezaji wengi waliamua kuwarudisha players wao waliowapeleka Kwa mkopo (Casemiro,Carvajal,Vallejo,Morata,Mariano) na imewasaidia kutotumia hela nyingi kwenye usajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom