Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Tusubr
Hahaha una matatizo Mkuu! Fekir tayar kashadeclare kutua Liverpool ambayo ni dream team yake tangu utotoni.
Yupo tayar kwenda kuungana na magwiji wenzake wakna Salah ili kunyanyua kikombe cha EPl na UEFA, hawez kuja kwenye meli inayozama

vipi nimuamini Mr.Mafegi leo au atanichania jamvi