Watford win or draw
Come on Watford!!!
Acha masihara shekh, kwani yule Master Pass wao hayupo?Yani Chelsea mnacheza sawa na hao Watford. Yan mnasukuma tu mpira uende mbele. No ambition, no aggressiveness ya kutaka ushindi wala goli. Yani mpompo tu
Mkuu mgomvi sana weweAcha masihara shekh, kwani yule Master Pass wao hayupo?
Au hukuangalia stats? Kwani hawaongozi hata umiliki wa mpira?

Nasikia walikuwa wanashangilia goli la 100 la Hazard wakasahau kuweka ulinzi nyumbani.Mkuu mgomvi sana wewe![]()
Kumbukumbu zangu zinanionesha mara ya mwisho Willian kucheza juu ya kiwango ni ile game ya Uefa dhidi ya Barcelona baada ya hapo kawa tia tia maji tuuWillian kakosesha timu magoli
This jan kuna haja ya kufanya usajili centre back mmoja, wing moja na clinical striker mmoja. Kwa hiki ninachokiona hata top four tunaweza tusitoboe.