Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ivi kwani Hazrd, Salah na Sterling hao wote si mawinga?

Kweli Sterling na Salah Ni mastreika hao? Au ulimaanisha Nini?

Coz Sijaona Mantiki ya Kumwita Hazard Ni attacking Mido wakati nature Yake Ni Winger na Ndiyo anavyochezeshwa hapo Chelsea.

Sterling nayeye Ni Winger by Nature.

Hutokezea Salah akachezeshwa Striker lakini anajuilikana kuwa Ni Winger.

Na sterling hutokezea akachezeshwa kama Striker lakini nature Yake Ni Winger.

Na Hazard hutokezea akachezeshwa kama Striker (False 9) lakini Ni Winger.

Kwahiyo unapoleta Stats usiwe Muongo.

HAZARD - MORATA - WILLIAN

KOVACIC - JOGINHO - KANTE

ALONSO - LUIS - RUDI - AZIP

KEPA
Sasa hapo nioneshe nafasi ya Hazard kuwa Ni Attacking Mido na so Winger.

HAZARD, SALAH na STERLING wote Ni wachezani Wa Aina moja Ni MAWINGA by Nature.

Bali Makocha kutokana na Liverpool na Chelsea kutokuwa na Mastriker Wa Maana ndiyo Hazard na Salah Mara huchezeshwa Mastriker

Na kutokana na Injury za Mara kwa Mara za Aguero huku kiwango cha Jesus kikiwa si cha uhakika ndiyo Sterling Mara huchezeshwa Striker.

Stats zinahitaji Facts mkuu na si hisia.

MANE - FIRMINO - SALAH

KEITA - FABINHO - GINI

ROBO - VVD - GOMEZ - TAA

ALISSON
Sasa sijui kumwita Salah pure striker unaangalia Ligi gani mwenzetu wakati tokea aje Klopp False 9 wetu Ni Firmino ambaye nature Yake Ni Attacking Midfielder.
Nina wasiwasi na uelewa wako wa general football. Yaani wewe formations ndio unaitumia kujua role ya mchezaji. Formation is just a tactical arrangement ya wachezaji uwanjani waweze kuleta matokeo, role ya msingi ya Hazard ni attacking midfield na hata nature ya gameplay yake iko hivyo na ndio maana hata acheze false 9, 8, 7 whatever anazunguka uwanja mzima upande wa opponent ili kuiexplore spaces na kucreate chances na kuwaunganisha wenzake mbele. Na kama hutaki hii facts nenda kashitaki polisi watakusaidia huko
 
Attacking midfield hatambuliwi kwa mfumo kwamba yuko nyuma ya forwads na mbele ya central/defencive midfielders bali kwa role au asili ya uchezaji wake.

Attacking midfielder ana tabia zifuatazo:
1. good passing abilities,
2. vision,
3. the ability to make long shots,
4. solid dribbling skills.

Sasa mwenyewe utaona kwamba Hazard anaposses hizo characters.
So tangu leo unapaswa kujua kuwa attacking midfielder anaweza kuattack kutoka pembeni. Na aki-attack kutoka pembeni ataitwa winger traditionally ila unapaswa kufahamu kuwa a winger is an attacking midfielder in a wide position.

So Hazard is a midfielder ila kwa sasa anacheza katika wide position.

So jamaa hapo juu kaongea kitaalamu zaidi maana Hazard anacheza kama attacking midfield na wakati mwingine kama wide midfielder.

Alafu juzi juzi nilimsikia Sarri akisema hakuna nafasi maalumu inayomfaa Hazard and most of the time utamwona Hazard akicheza kama mchezaji huru (free player)
Ndio kitaalamu inaitwa wide middlefield na nimeitaja hapo ila Ngwaba anaaproch football kama mtoto wa nursery school. Wide Mieldfield hucheza popote mbele na ndivyo Hazard anafanya
 
Yeye anatumia formation kujua role ya mchezaji kitu ambacho si sahihi
 
Rejea Nilchokiquote! Mimi huwa sipendelei mtu kuquote comment iliyopo bila ya kuangalia comments zilizopita ili ajue source ya Conversation.

In brief: Ni kwamba niliyemquote alisema Hazard asifananishwe na Pure Strikers.

Hao Pure Strikers aliowata Ni
1) Mo Salah
2) Sterling

Mimi nilichokikusudia kumueleza Kuwa.

Hazard, Sterling na Salah wote ni wachezaji wa aina moja kwa 100%.

• Sterling miaka yote aliyokuwa Liverpool kuanzia Academy mpaka kaondoka kuenda Man City alikuwa akicheza Wing ya Kushoto.

• Salah Anacheza wingi ya kulia lakini nature Yake Ni Mchezaji uneweza kumchezesha Wing ya Kushoto kwa mfumo Wa 4-4-2 due to his Left foot ability.

• Hazard Ni most Perfect kwenye Wing ya Kushoto ambayo ndiyo Nature Yake.

√ Lakini Hawa Wote Watatu Baadhi Ya Game katika Timu zao Wanachezeshwa Strikers (Either False 9 or Complete Strikers).

Kwahiyo hicho ndicho kiini cha Comment yangu iliyipita, Si kujadili nani Winga na nani Mido.
 
Nina wasiwasi na uelewa wako wa general football. Yaani wewe formations ndio unaitumia kujua role ya mchezaji. Formation is just a tactical arrangement ya wachezaji uwanjani waweze kuleta matokeo, role ya msingi ya Hazard ni attacking midfield na hata nature ya gameplay yake iko hivyo na ndio maana hata acheze false 9, 8, 7 whatever anazunguka uwanja mzima upande wa opponent ili kuiexplore spaces na kucreate chances na kuwaunganisha wenzake mbele. Na kama hutaki hii facts nenda kashitaki polisi watakusaidia huko

According to post yako hii sitokuwa na haki tana ya kuendelea na mjadala coz hutaki Challenge Bali unaforce Ni accept mawazo yako.
Nimemaliza.

Jioni Njema Mkuu.
 
Rejea Nilchokiquote! Mimi huwa sipendelei mtu kuquote comment iliyopo bila ya kuangalia comments zilizopita ili ajue source ya Conversation.

In brief: Ni kwamba niliyemquote alisema Hazard asifananishwe na Pure Strikers.

Hao Pure Strikers aliowata Ni
1) Mo Salah
2) Sterling

Mimi nilichokikusudia kumueleza Kuwa.

Hazard, Sterling na Salah wote ni wachezaji wa aina moja kwa 100%.

• Sterling miaka yote aliyokuwa Liverpool kuanzia Academy mpaka kaondoka kuenda Man City alikuwa akicheza Wing ya Kushoto.

• Salah Anacheza wingi ya kulia lakini nature Yake Ni Mchezaji uneweza kumchezesha Wing ya Kushoto kwa mfumo Wa 4-4-2 due to his Left foot ability.

• Hazard Ni most Perfect kwenye Wing ya Kushoto ambayo ndiyo Nature Yake.

√ Lakini Hawa Wote Watatu Baadhi Ya Game katika Timu zao Wanachezeshwa Strikers (Either False 9 or Complete Strikers).

Kwahiyo hicho ndicho kiini cha Comment yangu iliyipita, Si kujadili nani Winga na nani Mido.
I get your point ila bado Hazard nature yake sio wing ya kushoto, Sari anamjaribu kwenye position tofauti ili ajue how to optimize his ability lakini kwa maoni ya Hazard yeye anapenda kucheza mpira na kushambulia, na ndio maana tunasema nature ya role yake ni attacking midfield, kama ambavyo alivyo Kante yeye ni CM ila sari kaamua kumuweka mbele. Ni kama umchukue Engineer wa ujenzi umfanye kuwa mtunza fedha, atatunza fedha tena vizuri ila yeye ni mhandisi. Hazard ndivyo alivyo hata makocha waliopita walimtumia kama AM. Pep alimtum ia sana Messi kama false 9 na nafikiri ndie kocha wa kwanza kuleta hiyo false 9 kama sijachemka, Conbte na Sarri nao wakaamua kuiga kwa sababu Hazard ana quality zinazokaribiana na Messi kwenye dribbling wakaamua kumjaribu kwenye false 9. Whatever ila AMs wengi wanafaa pia kuwa winger au strikers
 
This is a discussion, hakuna anayetumia nguvu wala kumzuia mwingine asitoe maoni yake, Umetafsiri akili yangu vibaya. I just spoken my mind unaweza kupinga kwa facts. Ila kujitoa is not a civilized option unless kama uko offended na my way of airing my mind, I am sorry for that
 
Mimi hoja yangu haijazungumzia strikers. Shida yangu ipo katika aya yako ya tatu unaposema hivi;

"Sijaona mantiki ya kumwita Hazard attacking mido wakati nature yake ni wing na ndiyo anayocheza hapo Chelsea".

Katika hayo maneno yako unaonesha kwamba Hazard si attacking midfielder bali ni winger kitu ambacho ni uongo.

Hazard ni attacking midfielder anayecheza wide wala si winger kama unavyoamini.

Salah is naturally a forward playing in a wing position wakati Hazard is a midfielder nafikiri unachanganywa kumuona anacheza pembeni. Kwa maana hiyo hawa watu hawafanani kwa sababu wana roles tofauti uwanjani.

Hawa watu wako tofauti kabisa usichanganye.

Na mm humu huwa nasoma kila comment kwa hiyo nimekufatilia wewe na mkuu Lembu
 
I get your point ila bado Hazard nature yake sio wing ya kushoto, Sari anamjaribu kwenye position tofauti ili ajue how to optimize his ability lakini kwa maoni ya Hazard yeye anapenda kucheza mpira na kushambulia, na ndio maana tunasema nature ya role yake ni attacking midfield, kama ambavyo alivyo Kante yeye ni CM ila sari kaamua kumuweka mbele. Ni kama umchukue Engineer wa ujenzi umfanye kuwa mtunza fedha, atatunza fedha tena vizuri ila yeye ni mhandisi. Hazard ndivyo alivyo hata makocha waliopita walimtumia kama AM. Pep alimtum ia sana Messi kama false 9 na nafikiri ndie kocha wa kwanza kuleta hiyo false 9 kama sijachemka, Conbte na Sarri nao wakaamua kuiga kwa sababu Hazard ana quality zinazokaribiana na Messi kwenye dribbling wakaamua kumjaribu kwenye false 9. Whatever ila AMs wengi wanafaa pia kuwa winger au strikers
Kitu ambacho kinamchanganya ni kuona Hazard akicheza kutoka pembeni. Kwa modern football attacking midfielder anaweza kucheza wide na kwa asiyejua atajua anacheza wing position. No wonder utamwona sana Alonso akicheza kama wing back wakati Hazard yuko wide na mfumo ni 433
 
Ndio kitaalamu inaitwa wide middlefield na nimeitaja hapo ila Ngwaba anaaproch football kama mtoto wa nursery school. Wide Mieldfield hucheza popote mbele na ndivyo Hazard anafanya
Upo sahihi kabisa. Huwezi kwa mfano umlinganishe Hazard na Giggs kwa sababu Giggs alikuwa forward in a wing position wakati Hazard ni midfielder in a wide position
 
This is a discussion, hakuna anayetumia nguvu wala kumzuia mwingine asitoe maoni yake, Umetafsiri akili yangu vibaya. I just spoken my mind unaweza kupinga kwa facts. Ila kujitoa is not a civilized option unless kama uko offended na my way of airing my mind, I am sorry for that
Huyo jamaa hawezi kupose arguments hata kwenye jukwaa lao yuko hivyo. Unatumia kujitoa kwenye mijadala kama silaha yake badala ya kujenga hoja ili ajengee hoja yake ushawish
 
Merry Christmas to you all Chelsea fans

And happy new year

We are ready to win the title.

Wa can and we must do it.

Com one blues...

Title gani labda? 😀😀😀
Mambo yenyewe Ni kufumuliwa na Lesta Darajani kwako ikisha unategemea Title?
 
Kesho sidhani kama watford atatuacha salama. Kocha hataki kubadilika, sioni akitupeleka kokote huyu kocha bora asepe mapema.
 
Chelsea wako katika deal la kubadlishana wachezaji na Ac Milan...Morata aende Ac Milan Higuain aje Chelsea January dirisha dogo!
 
Hiyo ni list ya chances created. Ulitaka nimuweke mwenye 10 wakat kuna mtu ana 85.
Naona mumesharejea kufukuzia stats zenu kama kwamba kuna kitu Salah anagombaniana na Hazard!!!

Hivi Chelsea nzima mwenye stats Ni Hazrd tu? Hao wengine 10 waliobakia hawahitaji Stats?

Au Liverpool nzima mwenye Stats Ni Salah tu? Wengine kina Mane hawahitaji Stats?

Mbona sisi kwenye Uzi wetu Hatukomai na Stats za Kumkomalia Mchezaji Flani kama nyinyi munavyokomaa na Salah?

Mkuu Salah hagombanii chochote na Hazard usisumbuke kwani Ballon D'or haipatikani kwa Stats za EPL, na Wala Wote wawili hawawezi kuibeba.
 
Big chances created this season:
1. Man City (48)
2. Chelsea (44)
3. Liverpool (34)
4. Tottenham (33)
5. Arsenal (29)
Big chances missed: Chelsea is at no.2 with 33 big chances missed
[The problem is not Sarri's tactics, it's the lack of players who can finish those chances]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom