Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Okay, mimi nimeuliza hivyo kwa sababu kila nikiingia humu ni either Joginho au Hazard, ndo naona wanasifiwa.

Na Joginho tumekuwa tukiambiwa he is the engine behind Sarriball. So sikutegemea kuona kuna mtu anasema injini iuzwe, maana ukiuza engine tayari ni sawa na umeuza gari.
Hawa jamaa walianza hadi kumfananisha mchezaji wao huyo na Pogba,sasa kimyaa hamna cha kuleta vitakwimu vya pasi zake.
 
Hazard ni mchezaji mzuri hasa kwa sababu ya dribling capacity yake na ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi LAKINI Hazard akitoka Chelsea timu itapona kama Coutinho alipotoka Liverpool ikapona. Take my word
Kuondoka kwa Hazard kutaifanya kwanza timu ifanye usajili wa maana, pili itajenga kujituma zaidi kwa wachezaji waliopo

Unataka kuniambia Hazard yule aliyepo kwenye form msimu huu na ambaye bora kuliko Mosalah, kwa sasa amekuwa ndiyo chanzo cha matatizo hapo The bluez? 😂😂😂😂 dah kweli EPL kiboko yao
 
Pasi bila kutengeneza penetration pass na kutengeneza nafasi za kufunga ni bure. Hizo pasi ndizo Sarri anaziita HORIZONTAL PLAY. Zinapigwa kulia, kushoto, nyuma halafu muda unaisha bila hata kufunga goli huku tukimiliki mpira 73% ya possession hiyo ina faida gani kwa mashabiki.

Mkuu chelsea tatzo hamna wafungaji, hilo ndo tatzo kubwa
 
Let's work out this transfer sequence

Winter:
* Sign Fekir and Higuain
* Send Hudson-Odoi to PL team on loan
* Hazard-Higuain-Fekir to start
* Willian & Pedro become backup

Summer:
* Brings back Hudson-Odoi
* Sign Pepe
* Sell Willian & Pedro

Sounds too good to happen though.
 
Eden Hazard in the Premier League in 2018:

🔵 Most take-ons completed (136)
🔵 Most fouls won (98)
🔵 Most chances created (96)

The ultimate menace.
 
Sipati picha kama ingekua ni Morata ndio kagongesha ile mibesela miwili, jinsi tungemlaumu humu. Ila kwa vile ni hazard poa
Morata ni Morata kwa sababu ya general performance yake sio kwenye shoot moja au loose moja. Hata wewe moyo wako unakusuta kumlinganisha Morata na Hazard. Pili kugonga nguzo/goli iwe ni kwa Morata Alonso au Hazard ni bad luck. Huwezi mlaumu mchezaji kwa ku hit the wood. Na sijawahi kumsikia mchezaji akisemwa vibaya kwa kugongesha mpira kwenye nguzo. mchezaji analaumiwa kwa kupoteza mipira kuotea ovyo na hayo yanatokea kwa kujirudia mpaka fans wanachoka kukuvumilia. Get the point man
 
Unataka kuniambia Hazard yule aliyepo kwenye form msimu huu na ambaye bora kuliko Mosalah, kwa sasa amekuwa ndiyo chanzo cha matatizo hapo The bluez? 😂😂😂😂 dah kweli EPL kiboko yao
Wewe ni mgumu wa kuelewa, sina haja ya kujibu hili
 
Eden Hazard has created 85 chances from open player in the Premier League in 2018.

🔴 Mohamed Salah (55)
🔵 Raheem Sterling (55)

At least 30 more than any other player.
 
Merry Christmas to you all!

Spend time with the ones you love & make sure to smile at them like N’Golo Kanté does when riding a bicycle.
 
Eden Hazard has created 85 chances from open player in the Premier League in 2018.

🔴 Mohamed Salah (55)
🔵 Raheem Sterling (55)

At least 30 more than any other player.
Jasho la kuku samahani kukujibu hivi

Ni makosa kumlinganisha hazard na pure strikers au wingers kama akina MO Salah na Sterling, role kubwa ya hazard ni attacking midfielder au wide midfielder anachezesha mpira na ndio maana sifa yake kubwa haiko kwenye kuscore bali kwenye kudrible na kutengeneza chances ikiwa ni pamoja na kuassist. Katika nafasi yake magoli anayofunga ni ratio nzuri sana kama ya akina Lampard nk. Hata kama akicheza false no. 9 ni kwa sababu hiyo hiyo ya kuwachezesha wenzake wa mbele.
MO Salaha anakiwa kuwa na mabao mengi na assists chache kwa sababu yeye ni striker
Raheem Sterling ni mainly winger
Sala hawezi kucheza mpira kama Hazard lakini anaweza kufunga magoli mengi kuliko Hazard akiwa na viungo wazuri wa kumtengenezea mipira

Na ndio maana
  1. Mo Salaha ktk matches 18 ana magoli 11 na assist 5 more goals than Hazard and Sterling but less assists than the duo
  2. Sterling katk matches 15 ana 9 goals assist 6 less than Mo Salaha but higher than Hazard and vice versa
  3. Eden Hazard in 17 matches and 8 goals and 9 assists. Ndie mwenye assists nyingi kuliko hao wawili
Hata itakapoendelea tutategemea merely stats zitakuwa ktk rationale hiyo hiyo unless kuwepo na a big difference katika general performance ya timu nzima

Mfano chelsea wakien delea kucheza ovyo zitaaffect stats za Hazard against the other duo
Performance ya Liverpool ikidorora, Mo Salaha stats zake zitaadhiriwa
Mancity hivyo hivyo kwa Raheem
 
From the Blues to Yall
IMG_20181225_121642.jpeg
 
Ivi kwani Hazrd, Salah na Sterling hao wote si mawinga?

Kweli Sterling na Salah Ni mastreika hao? Au ulimaanisha Nini?

Coz Sijaona Mantiki ya Kumwita Hazard Ni attacking Mido wakati nature Yake Ni Winger na Ndiyo anavyochezeshwa hapo Chelsea.

Sterling nayeye Ni Winger by Nature.

Hutokezea Salah akachezeshwa Striker lakini anajuilikana kuwa Ni Winger.

Na sterling hutokezea akachezeshwa kama Striker lakini nature Yake Ni Winger.

Na Hazard hutokezea akachezeshwa kama Striker (False 9) lakini Ni Winger.

Kwahiyo unapoleta Stats usiwe Muongo.

HAZARD - MORATA - WILLIAN

KOVACIC - JOGINHO - KANTE

ALONSO - LUIS - RUDI - AZIP

KEPA
Sasa hapo nioneshe nafasi ya Hazard kuwa Ni Attacking Mido na so Winger.

HAZARD, SALAH na STERLING wote Ni wachezani Wa Aina moja Ni MAWINGA by Nature.

Bali Makocha kutokana na Liverpool na Chelsea kutokuwa na Mastriker Wa Maana ndiyo Hazard na Salah Mara huchezeshwa Mastriker

Na kutokana na Injury za Mara kwa Mara za Aguero huku kiwango cha Jesus kikiwa si cha uhakika ndiyo Sterling Mara huchezeshwa Striker.

Stats zinahitaji Facts mkuu na si hisia.

MANE - FIRMINO - SALAH

KEITA - FABINHO - GINI

ROBO - VVD - GOMEZ - TAA

ALISSON
Sasa sijui kumwita Salah pure striker unaangalia Ligi gani mwenzetu wakati tokea aje Klopp False 9 wetu Ni Firmino ambaye nature Yake Ni Attacking Midfielder.
 
Eden Hazard has created 85 chances from open player in the Premier League in 2018.

🔴 Mohamed Salah (55)
🔵 Raheem Sterling (55)

At least 30 more than any other player.

Naona mumesharejea kufukuzia stats zenu kama kwamba kuna kitu Salah anagombaniana na Hazard!!!

Hivi Chelsea nzima mwenye stats Ni Hazrd tu? Hao wengine 10 waliobakia hawahitaji Stats?

Au Liverpool nzima mwenye Stats Ni Salah tu? Wengine kina Mane hawahitaji Stats?

Mbona sisi kwenye Uzi wetu Hatukomai na Stats za Kumkomalia Mchezaji Flani kama nyinyi munavyokomaa na Salah?

Mkuu Salah hagombanii chochote na Hazard usisumbuke kwani Ballon D'or haipatikani kwa Stats za EPL, na Wala Wote wawili hawawezi kuibeba.
 
Ivi kwani Hazrd, Salah na Sterling hao wote si mawinga?

Kweli Sterling na Salah Ni mastreika hao? Au ulimaanisha Nini?

Coz Sijaona Mantiki ya Kumwita Hazard Ni attacking Mido wakati nature Yake Ni Winger na Ndiyo anavyochezeshwa hapo Chelsea.

Sterling nayeye Ni Winger by Nature.

Hutokezea Salah akachezeshwa Striker lakini anajuilikana kuwa Ni Winger.

Na sterling hutokezea akachezeshwa kama Striker lakini nature Yake Ni Winger.

Na Hazard hutokezea akachezeshwa kama Striker (False 9) lakini Ni Winger.

Kwahiyo unapoleta Stats usiwe Muongo.

HAZARD - MORATA - WILLIAN

KOVACIC - JOGINHO - KANTE

ALONSO - LUIS - RUDI - AZIP

KEPA
Sasa hapo nioneshe nafasi ya Hazard kuwa Ni Attacking Mido na so Winger.

HAZARD, SALAH na STERLING wote Ni wachezani Wa Aina moja Ni MAWINGA by Nature.

Bali Makocha kutokana na Liverpool na Chelsea kutokuwa na Mastriker Wa Maana ndiyo Hazard na Salah Mara huchezeshwa Mastriker

Na kutokana na Injury za Mara kwa Mara za Aguero huku kiwango cha Jesus kikiwa si cha uhakika ndiyo Sterling Mara huchezeshwa Striker.

Stats zinahitaji Facts mkuu na si hisia.

MANE - FIRMINO - SALAH

KEITA - FABINHO - GINI

ROBO - VVD - GOMEZ - TAA

ALISSON
Sasa sijui kumwita Salah pure striker unaangalia Ligi gani mwenzetu wakati tokea aje Klopp False 9 wetu Ni Firmino ambaye nature Yake Ni Attacking Midfielder.
Attacking midfield hatambuliwi kwa mfumo kwamba yuko nyuma ya forwads na mbele ya central/defencive midfielders bali kwa role au asili ya uchezaji wake.

Attacking midfielder ana tabia zifuatazo:
1. good passing abilities,
2. vision,
3. the ability to make long shots,
4. solid dribbling skills.

Sasa mwenyewe utaona kwamba Hazard anaposses hizo characters.
So tangu leo unapaswa kujua kuwa attacking midfielder anaweza kuattack kutoka pembeni. Na aki-attack kutoka pembeni ataitwa winger traditionally ila unapaswa kufahamu kuwa a winger is an attacking midfielder in a wide position.

So Hazard is a midfielder ila kwa sasa anacheza katika wide position.

So jamaa hapo juu kaongea kitaalamu zaidi maana Hazard anacheza kama attacking midfield na wakati mwingine kama wide midfielder.

Alafu juzi juzi nilimsikia Sarri akisema hakuna nafasi maalumu inayomfaa Hazard and most of the time utamwona Hazard akicheza kama mchezaji huru (free player)
 
Let's work out this transfer sequence

Winter:
* Sign Fekir and Higuain
* Send Hudson-Odoi to PL team on loan
* Hazard-Higuain-Fekir to start
* Willian & Pedro become backup

Summer:
* Brings back Hudson-Odoi
* Sign Pepe
* Sell Willian & Pedro

Sounds too good to happen though.

Hahaha una matatizo Mkuu! Fekir tayar kashadeclare kutua Liverpool ambayo ni dream team yake tangu utotoni.

Yupo tayar kwenda kuungana na magwiji wenzake wakna Salah ili kunyanyua kikombe cha EPl na UEFA, hawez kuja kwenye meli inayozama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom