lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
Willian ni mchezaji mzuri, kaichoka tu Chelsea, naamini akihama atacheza vizuri tuHalafu ndo mlitaka tuwape Martial mtupe huyo Willian?
Hii ingekuwa maana halisi ya biashara kichaa.
Willian ni mchezaji mzuri, kaichoka tu Chelsea, naamini akihama atacheza vizuri tuHalafu ndo mlitaka tuwape Martial mtupe huyo Willian?
Hii ingekuwa maana halisi ya biashara kichaa.
Weka mkeka wewe.. Tuko vizuri

83 minutes Watford 1:0 Chelsea 

Walioanza kumtaka ni wa kina nani.? Nyie si ndio mlionyesha nia ya kumtaka sisi tukatengemeza terms za biashara.Halafu ndo mlitaka tuwape Martial mtupe huyo Willian?
Hii ingekuwa maana halisi ya biashara kichaa.
Dua la kuku hiliPlease who can remember how it happened the last time Chelsea played away at Watford.83 minutes Watford 1:0 Chelsea
84 mins Watford 1:1
Full time Watford 4:1 Chelsea.
Kepa leo ajiandae kugaragazwa
Nenda mazima.Nipo kwa mkopo Watford.
Ndio nipo Watford mazima kwa dk 90.Nenda mazima.
Tulia ww usha draw huko na timu yako ya kujinyonga bado ww tu unywe sumuPlease who can remember how it happened the last time Chelsea played away at Watford.83 minutes Watford 1:0 Chelsea
84 mins Watford 1:1
Full time Watford 4:1 Chelsea.
Kepa leo ajiandae kugaragazwa
Nan kachoma hilo goli du!This jan kuna haja ya kufanya usajili centre back mmoja, wing moja na clinical striker mmoja. Kwa hiki ninachokiona hata top four tunaweza tusitoboe.