Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu mbona unauliza maswali badala ya kusubiri jibu unajijibu? Kiufupi toka 93 naangalia EPL sikuwa na team ,team niliyokuwa nashabikia ni dortmond ,ila mwaka 1997 niliamua mwenyewe kuanza kuishabikia Chelsea ya captain wise,Celestine babayaro,frank leboeaf,Gustavo poyet,gianluca vialli,Roberto di Matteo,Dan petrescu niliupenda muunganiko huu,pia sikupenda team zenye washabiki wengi option niliyokuwa nayo ni Chelsea
Mkuu wasamehe, watu wengi wamekariri sana kwakua miaka ambayo Chelsea imeanza kupata mafanikio wao wanadhani ndio wengi tumeanza kuishabikia.

Kuna jamaa namjua vizuri ni shabiki wa Newcastle kufa kupona ila ndio ivyo kesho kesho kutwa mtu akimkuta atamwambia ameanza kushabikia baada ya Benitez kuichukua timu.

So tuwazoee tu
 
Mnakosa sana mabao!
Hii mechi ingekuwa Liverpool kwa nafasi hizi mnazo poteza ingekuwa 4-0 mechi imeisha!
Mnacheza vizuri sana kwenye kumiliki jabulani lkn tatizo lenu sasa ni kufunga,mnakosa mabao ya wazi sana!
Bado hamyaogopi MAJOGOO ya Melwood?
 
Huyu Piatek timu itakayo mpata, itakua imempata Lewandowski mwingine. Jamaa yuko vizuri.
IMG_20181222_190511_380.jpeg
IMG_20181222_190533_408.jpeg
 
Vardyyyyyyyyyyy
Mmepigwa tayari
Mmekosa sana mabao bana sasa mnapigwa
 
Mnakosa sana mabao!
Hii mechi ingekuwa Liverpool kwa nafasi hizi mnazo poteza ingekuwa 4-0 mechi imeisha!
Mnacheza vizuri sana kwenye kumiliki jabulani lkn tatizo lenu sasa ni kufunga,mnakosa mabao ya wazi sana!
Bado hamyaogopi MAJOGOO ya Melwood?
Hatuna clinical striker hilo ndio tatizo la Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom