Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona tuna viungo wengi isco na fekir wa nn tatizo letu si viungo
Akija fekir au isco kipenzi chetu kante atakwenda madrid ,psg au barca na tutatukuwa tumetoa sadaka mzuri kama madrid walivyo mwachia makelele wakakaa 5 years trophiless
 
Fekir anacheza 10, Kante anarudi zake 6.

I had sacrifice Joginho between 2.
 
Mkuu kumbe we ni shabiki wa Chelsea
emoji3.png
emoji3.png

Unasema umeanza kuangalia EPL toka mwaka 1993??Nachotaka kujua kwamba ulianza kuishabikia Chelsea mwaka Gani?

Na ivi Chelsea mwaka 93 ilimaliza ya ngapi PL?1994 je?

Bila shaka wewe umehamia Chelsea 2006
emoji23.png
emoji23.png
Mkuu kumbe we ni shabiki wa Chelsea [emoji3][emoji3]

Unasema umeanza kuangalia EPL toka mwaka 1993??Nachotaka kujua kwamba ulianza kuishabikia Chelsea mwaka Gani?

Na ivi Chelsea mwaka 93 ilimaliza ya ngapi PL?1994 je?

Bila shaka wewe umehamia Chelsea 2006 [emoji23][emoji23]
Mkuu mbona unauliza maswali badala ya kusubiri jibu unajijibu? Kiufupi toka 93 naangalia EPL sikuwa na team ,team niliyokuwa nashabikia ni dortmond ,ila mwaka 1997 niliamua mwenyewe kuanza kuishabikia Chelsea ya captain wise,Celestine babayaro,frank leboeaf,Gustavo poyet,gianluca vialli,Roberto di Matteo,Dan petrescu niliupenda muunganiko huu,pia sikupenda team zenye washabiki wengi option niliyokuwa nayo ni Chelsea
 
Ni mwalimu kuamua tu game ya city nilimuona kante karudi deep sana although alifunga ila alifanya kazi nzuri

Game plan ya City ilikuwa a bit defensive, na mlichofanya hamkuwa mnakaba mtu, ilikuwa ni kuziba space kuhakikisha mpira hautoboi kwenda kwenye box, na kama uliona kuna mipira kadhaa ilikuwa ikienda mbele inakosa watu kwa sababu nyote mlikuwa nyuma.
 
Mkuu kumbe we ni shabiki wa Chelsea [emoji3][emoji3]

Unasema umeanza kuangalia EPL toka mwaka 1993??Nachotaka kujua kwamba ulianza kuishabikia Chelsea mwaka Gani?

Na ivi Chelsea mwaka 93 ilimaliza ya ngapi PL?1994 je?

Bila shaka wewe umehamia Chelsea 2006 [emoji23][emoji23]
Watu tuna miaka 30 tunashabikia Chelsea mdogo wangu. Usichukulie watu poa.!
 
Mkuu mbona unauliza maswali badala ya kusubiri jibu unajijibu? Kiufupi toka 93 naangalia EPL sikuwa na team ,team niliyokuwa nashabikia ni dortmond ,ila mwaka 1997 niliamua mwenyewe kuanza kuishabikia Chelsea ya captain wise,Celestine babayaro,frank leboeaf,Gustavo poyet,gianluca vialli,Roberto di Matteo,Dan petrescu niliupenda muunganiko huu,pia sikupenda team zenye washabiki wengi option niliyokuwa nayo ni Chelsea
hongera kwa kuchagua chama kubwa
 
Jamaa leo mjitahidi ushindi maana Arsenal kashashinda, na akiwakaribia anatupigia kelele sana, inabidi mwendelee kumwacha mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom