Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Hazard, Azpilicueta, Kante and Kepa Arrizabalaga rested by Sarri. #CFC
#CFCLeo nimesoma sehemu Batshuay hatakiwi tena Valencia kwani ktk mechi 13 kafunga goli 1 tu wakati kule Dotmund kafunga 7/10
Usajili hasa wa mbele ni muhimu lakini Spurs hawako imara sanaTunahitaji wachezaji ili kuimprove timu yetu.
Tunahitaji back up ya Azpillicueta, tunahitaji striker, winger 1. Vinginevyo top 4 itakuwa ngumu hasa ukiangalia wapinzani wetu Arsenal, Tottenham wameimarika kuliko sisi. Na hata Man U akipata mabeki 2 anaweza kutuchalenge
Hakuna team naiogopa kama spurs vitimu vidogo vyote anavipiga kwangu huyu ni hatari kuliko Liverpool alianza ligi kwa uchovu wa world cup kumbuka ni team moja ilikuwa na wachezaji wengi world cup,pia walikuwa na injuryUsajili hasa wa mbele ni muhimu lakini Spurs hawako imara sana
Kocha wao anawajengea wachazaji wale wale wakawaida mentality ya ushindi
Sidhani kama Sarri anafanya kwa nguvu kubwa hivyo.
Usajili hasa wa mbele ni muhimu lakini Spurs hawako imara sana
Kocha wao anawajengea wachazaji wale wale wakawaida mentality ya ushindi
Sidhani kama Sarri anafanya kwa nguvu kubwa hivyo.
Chelsea wanaoweza kupata namba spurs first eleven ni hazard na kante basi ,wakati mwingine tunaweka upenzi pembeni ,kikosi bora kabisa ni city ,pili Spurs.nimalizie kuunga mkono hoja spurs tishio hawana kocha wa ubingwaHugo Lloris
Trippier
DannyRose
Toby Alderweireld
Jan Vertonghen
Sánchez
Erik Lamela
Victor Wanyama
Erik Dier
Sissoko
Mouse Dembéle
Dele All
Eriksen
Son
Harry Kane
Harry Winks ni wachezaji ambao wanaweza kuwabench akina Luiz, Kovacik, Loftus Cheek, Willian, Pedro na Morata. So hiyo siyo timu ya ku-underate
Kweli Kabisaa, Harry Kane, Dele Alli, Son, Vertongen, Toby Aldeweild, Sanchez, Eriksen si watu wa kuwalinganisha na wachezaji wa ChelseaChelsea wanaoweza kupata namba spurs first eleven ni hazard na kante basi ,wakati mwingine tunaweka upenzi pembeni ,kikosi bora kabisa ni city ,pili Spurs.nimalizie kuunga mkono hoja spurs tishio hawana kocha wa ubingwa