lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Hapo ndio akili yako imeishia? Wewe kwanza sio mßhabiki wa mpira labda Lipuli au mbaoChelsea wanaoweza kupata namba spurs first eleven ni hazard na kante basi ,wakati mwingine tunaweka upenzi pembeni ,kikosi bora kabisa ni city ,pili Spurs.nimalizie kuunga mkono hoja spurs tishio hawana kocha wa ubingwa