BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,987
Usipanic braza ni utani tuComment kama hizi zinatolewa na watu waliojaa msongo wa mawazo na ugumu wa maisha , kama hauwezi kutofautisha siasa na football uliwapa tabu walimu wako
Usipanic braza ni utani tuComment kama hizi zinatolewa na watu waliojaa msongo wa mawazo na ugumu wa maisha , kama hauwezi kutofautisha siasa na football uliwapa tabu walimu wako
NotedUsipanic braza ni utani tu
Nauliza tu
Pochettino angepewa timu moja kati ya hizi zingeboreka zaidi au zingekuwa pale pale au zingezorota zaidi
Chelsea
Liverpool
Man united
Arsenal
toka nijiunge jf mara ya kwanza na ya pili leo ndio umenena point ww wa man uHata liverpool sio wavumilivu ni vile klopp anawafurahisha na soka la kushambulia tu mmesahau yote subir akose ubingwa wowote msimu huu utaona moto wake blendan rogers mbona hakuvumiliwa kama klopp?
Tatizo la spurs ni kocha mshindani wa kucheza kwa ajili ya makombe spurs wana beki 4/5 ambao top six wanaanza kikosi cha kwanza bila shida kuna gem unatakiwa kushambulia na zingine lazima uwe na adabu siri kubwa ya liverpool kwa sasa kawa na adabu sari mech ya city alicheza kwa adabu hakutaka kufunguka alihitaji matokeo na alipataZingeendrlea maana spurs tatzo n beki na midle moja
Naona Sarri ameshawachoka Striker wa Chelsea hadi anaamua kuwaweka benchi tuLine up ya leoView attachment 969757
Namuona Alonso anaruka ruka tu, makosa mengi sana sijui shida nn
Alonso, nadhani ni wakati sahihi wa sari kumuamini Emerson.Naamini ana uchovu was fikra na mwili itafika wakati atarudi kwenye ubora wake was kupiga kross,tackle, header pia nimemmisi kwenye faulo
Kinachoniuma clean sheet imeshindikana
Accuracy yake imepingua sana lakini nachojua upepo huu utapita jamaa atarudi uboraniYale mapancha ya Alonso leo ilikuwa lazima tupigwe angalau kamoja