Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Bado jpili napo wanafumuliwaTangia mlivompa Tot atatue marinda mmeona fresh tu mgawe kila mtu asukume ndani
Bado jpili napo wanafumuliwaTangia mlivompa Tot atatue marinda mmeona fresh tu mgawe kila mtu asukume ndani
Ahahaaah!Wamepigwa 2 :1 chief
Ahahaaah, kuwa na huruma kidogo chief.58 minutes Wolves 0 Chelsea 1
63 minutes Wolves 2 Chelsea 1
Kweli hii ni Sarriball
Hajatoa safe,kafungwa kabisa.Ana akitoa sare Next game hakuachi na shukuru tu umepinea chupa chupa kwa Wartford
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah mkono vizuriSijui Man City atatufanya nini pale darajani. Najaribu kujivutia picha nakosa.
Kile kigoli cha kubahatisha siku ile kimeanza kuwapa jeuri sasa.Nawaona rent boys mtavyopata tabu kalou eden kimario Ollachuga Oc Mentor Southern HighlandView attachment 957016
Kuwa na heshima wewe. Hakuna aliyepigwa. TumefungwaWamepigwa 2 :1 chief


Kile kigoli cha kubahatisha siku ile kimeanza kuwapa jeuri sasa.
Kuwa na heshima wewe. Hakuna aliyepigwa. Tumefungwa
![]()