Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
That's it from Giroud
Anajifanya hataki kubadilika ngoja tufungwe game ya pili ndio atapata akiliSarri: “For me the central midfielder is Jorginho or Fabregas. I do not
want Kante to play in this position”
Eee amezikwa jana pale Paris...Marehem ameshazikwa?
Hahahahaha Malafyale bana ...kwa hiyo na wewe unataka kubeba EPL msimu huu?!Chelsea bado mnacheza CL mwakani,hiyo ndiyo iwe ambition yenu mwaka huu,ubingwa waachieni Man City vs Liverpool.
Mnacheza na Man City weeks mbili zijazo hapo Darajani!
Mki approach game kama hii na Spurs watawafunga hadi aibu.
Naomba utusalimu kwa jina la Neymar...Nawasalimu kwa jina la huyu mtuView attachment 947422
Niliangalia hiyo mechi yote jana, Bakayoko ni mchezaji mzuri sana, Chelsea tu ilimkataaBakayoko against Dudelange:
Passes: 59/67
Dribbles: 2/2
Tackles: 11/11
Interceptions: 2
Rating (MOTM): 8.6
👏🔴⚫️
Vs Lazio
Vs Juventus
Kacheza vizur