People are too judgemental. Yan naanza kupata picha ni kwa namna hali itakua ikiwa tutafungwa. Ila ndio upinzani wenyewe tuwe wavumilivu katika hili.
Kwa upande wangu game ilikua ngumu na tulipoteza nafasi mwanzoni. Everton back line yao ilikua solid sana. Walikua hawafanyi makosa ya kizembe, so far matatizp yetu yanajulikana striker bado ni tatizo na viungo naona nao wanaanza kupoteana. Bado tuna tatizo na kufanya faulo nyingi mpaka tunapata kadi nyingi hii inaweza kutu cost endapo tukapata kadi nyekundu
Wana blues tuwe wapole achaneni na hao maneno yao ndio kwanza Sarri yuko kwenye msimu wake wa kwanza na anafanya wonders kama zote. Kuna watu ni msimu wa tatu hawajanyunyua makwapa na kujua kwao mpira. [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuweni wapole. Holla Bluees!!!