eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Sarri na Morata
Sarri na Morata
Zuwena ZvedaUmekosea kidogo! Kuna mtu anaitwa Shaqir umemsahau sasa chukua Salah + Mane +Firmino then ongeza shaqir unadhan kuna team itapona hapo?
Golini mkute Alson bila kusahau VanDik na Gomez, Mkuu sio masihara hakuna mtu wa kupona
Joe Cole's career by numbers:
👕 716 appearances
⚽️ 104 goals
🏆 3 Premier League
🏆 2 FA Cup
🏆 1 League Cup
🏆 1 Community Shield
🏆 1 UEFA Intertoto Cup
What a career.
Kwa biti hizo mngekua mnaongoza ligi, Liver nayo ishabaki kwenye makaratasi tu hamna kitu miaka yote ni kusindikiza mabingwaUmekosea kidogo! Kuna mtu anaitwa Shaqir umemsahau sasa chukua Salah + Mane +Firmino then ongeza shaqir unadhan kuna team itapona hapo?
Golini mkute Alson bila kusahau VanDik na Gomez, Mkuu sio masihara hakuna mtu wa kupona
Kwa biti hizo mngekua mnaongoza ligi, Liver nayo ishabaki kwenye makaratasi tu hamna kitu miaka yote ni kusindikiza mabingwa
ila akiumia giroud na morata kawaida tu maana wale kama wafanyakaz hewaKuna watu wawili wakiumia ni majanga ngolo kante na jorginho
Hao Kovacic na baklay wote wako vizuri akiumia mmoja wao hamna tabu
Leo tukishinda halafu man city akafungwa tutaongoza ligi wakuu? au!