Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haoana tazama aina za beki hivi kweli mfumo wa chelsea wa kupiga pas nying unaweza muona golkipa anafanya kaz na mfano wa wazi n barca kipa wao n mbovu ila ku5okana na mfumo anaonekana bora kepa ni bora sema tu ajapata mashambuliz makali maana beki zipo sawa
Ni golikipa bora kwa umri mdogo. Atakuja kuwa the best golie misimu michache ijayo kwa sababu anatumia akili na mbinu katika kusokma mchezo pasi na mwenendo wa game. Kipa mzuri unamjua kwenye chances created alizotibua na mipira ya wazi golini alizookoa kwa ufundi na ujanja. Aliweza kuokoa mipira ya hatari zaidi ya 60 msimu uliopita akiwa Laliga.

Zinadine alikuwa amchukue Kepa lakini Chelsea wangemuacha na Zidane angeendelea kuwa Madrid angemchukua maana alikuwa anampenda. Ni kwa sababu tu hakuruhusuiwa kusajili kipa katikati ya msimu
“Kepa is very talented,” Zidane said,

Kuna jamaa wa sportkeeda.com wamemuweka na. 10 bora duniani (Maoni ya Sept 2018)
Page 10 - Ranking the 10 best goalkeepers in the world
  1. David de Gea (Manchester United)
  2. Jan Oblak (Atletico Madrid)
  3. Marc-Andre ter Stegen (Barcelona)
  4. Thibaut Courtois (Real Madrid)
  5. Ederson (Manchester City)
  6. Alisson Becker (Liverpool)
  7. Samir Handanovic (Inter Milan)
  8. Manuel Neuer (Bayern Munich)
  9. Jordan Pickford (Everton)
  10. Kepa Arrizabalaga (Chelsea)
Najua kuna makipa kama mzee Bufon wa PSG na Navas wa Madrid nao angewaweka hapo
 
Unakazia
 
Haoana tazama aina za beki hivi kweli mfumo wa chelsea wa kupiga pas nying unaweza muona golkipa anafanya kaz na mfano wa wazi n barca kipa wao n mbovu ila ku5okana na mfumo anaonekana bora kepa ni bora sema tu ajapata mashambuliz makali maana beki zipo sawa
Kwa nini umeamua kuwa mwongo
Chelsea ni moja kati ya team zenye beki mbovu sana kinachotusaidia ni possession na passes tu
 
Kutoka Na Timu ya Taifa ya Spain ilivyo nawashauri tu Bora muombe Kepa asiwekwe Golkepa namba 1 ili aendelee kulinda heshima Yake nsimu huu.

Spain kwa sasa Hata waeke Kipa 2 De Gea na Kepa kwa wakati mmoja basi kufungwa goli 3 Ni kitu cha kawaida kutokea.
Sawa umesikika ila mwalimu wa spain kashaamua
 
Former Chelsea striker, Didier Drogba, has said that Diego Maradona and Pele are better than Lionel Messi.
“He’s still not at the heights of Maradona and Pele, but he’s not far away,” Drogba told Sport.
 
Sarri to spend £200m on four players ahead FIFA ban on Chelsea

Chelsea boss, Maurizio Sarri, will spend more than £200 million in January window following the threat of a two-year transfer ban by FIFA.

The money will be spent on four players.
FIFA had last week recommended the Blues receive a four-window transfer ban following an investigation into them signing under-age foreign players.

The threat will push the Blues to work around the clock in January to bring in a number of targets before the ban hits.
Express Sports reports that Chelsea are ready to go head-to-head with both Manchester United and City to sign 27-year-old £50m-rated Brazilian wing-back Alex Sandro from Juventus.
Sarri is already on the verge of winning the £70m-race to land winger Christian Pulisic, 20, from Borussia Dortmund.

The Italian manager will also pay £50m for 24-year-old right-back, Elseid Hysaj.
The Blues are also looking to invoke a £40m buy-back clause in the deal that took central defender Nathan Ake to Bournemouth.
EPL: Sarri to spend £200m on four players ahead FIFA ban on Chelsea - Daily Post Nigeria
 
Afanye haraka maana ban inatuhusu hiyo lazima
 
Kacheza Jana kwa dakka 75
Kutoka Na Timu ya Taifa ya Spain ilivyo nawashauri tu Bora muombe Kepa asiwekwe Golkepa namba 1 ili aendelee kulinda heshima Yake nsimu huu.

Spain kwa sasa Hata waeke Kipa 2 De Gea na Kepa kwa wakati mmoja basi kufungwa goli 3 Ni kitu cha kawaida kutokea.
 
Sarri: "My idea when I started to decided to dedicate my life to sport, was to have fun and to have fun. When the team follows me and manages to apply my theories, I feel immense satisfaction. And when I see that even players and the public are happy, what more could I ask for?"
 
Sarri: "My sense of football is this. The results are a logical consequence. It is a fundamental concept in real life: if you work well and with passion, sooner or later you will center your objectives"
 
Sarri on Spurs: "A difficult challenge, against a smart coach and a team that goes to memory. They'll host Inter 4 days later and will play the last chance of qualification in the Champions League: it is legitimate to expect a lineup influenced in some way by the match on Nov 28"
 
Sarri: "But I think Tottenham won't make calculations against Chelsea before playing Inter Milan. It will be a real match, as well as a derby"
 
Maurizio Sarri on Willian:

"Willian is a player of immense quality. His style of play is perfect for England. The Brazilian class mix plus British racing exalts it. Alvaro is a quality, fast and technical guy. He has a great sensitivity and the difficulties had hurt him" #CFC
 
Sarri: "Often in the analysis of football the statistics are false. I cite an example: between the eleventh player used in Chelsea, Kovacic, and the twelfth, Barkley, there are just a hundred minutes difference. We have found our size and that's okay" #cfc
 
Sarri: "The results and also the quality of our football is very positive. Eighteen games without defeats, in a competitive league like this shows that we have taken the right path. I'm even happier because we play a lot and the ability to cut deeply is more complex." #cfc
 
Sarri: "My idea when I started to decided to dedicate my life to sport, was to have fun and to have fun. When the team follows me and manages to apply my theories, I feel immense satisfaction. And when I see that even players and the public are happy, what more could I ask for?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom