Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Leo ndio siku tumeukosa ubingwa wa mwaka huu
Kumbe unajua Leo?
Leo ndio siku tumeukosa ubingwa wa mwaka huu



Yan tuseme tu tumekutana na timu bora.
Nadhani watakua ni miungu wa mpiraKama EVERTON ni timu bora je Man City & Spurs watakuwa nani?
Coz utakumbana nao karibuni!!!
Na wao pia ni bora. Barca alikutana na Madrid kamgonga 5 leo kakutana na Betis kapigwa 4 nyumbani.Kama EVERTON ni timu bora je Man City & Spurs watakuwa nani?
Coz utakumbana nao karibuni!!!
Red star kakuweka viwili. Mimi nimedraw so hatuwezi kufanana maumivuPoleni kwa droo, ndo mpira ulivyo.
Angalau kelele za Red Stars Belgrade zipungue sasa.
Red star kakuweka viwili. Mimi nimedraw so hatuwezi kufanana maumivu
Ni kweli mkuu, ila kwa matokeo haya huwezi kuja kututembelea wiki hii kama mlivyokuja juzi.
Hahaa.. Mi nakuja tu. Siogopi chochote
Karibu, nina uhakika hautakuja kwa zile spidi, maana mlitujalia, mara Chelsea, Arsenal, Man Utd yaani ilikuwa shida aisee.
Hiyo namba tatu Tottenham mnaigombania naye, sisi tunakimbizana na Man City, sema jamaa wanapenda sifa sana.
Mi naitafuta namba moja bhana. Hiyo namba nawaachia mnaoihitaji
Liverpool win
Chelsea win
Man city win
Arsenal win or draw
Kama CFC FAN game tatu tumecheza mpira hovyo ni hizi
; -
1 westham
2 bate
3 everton
Chanzo
Kocha kuwawek willian na haard + kovacic in first eleven
Inatakiwa mmja wao atoke benchi akiwa amesoma game
Mashambukiz ya pemben yamepitwa na wakat hii si la liga tunaitaji mashambuliz kutoka kat
Maan pemben hakun mtu mzur wa kumalizia
Ndio mataongoza mkuu
Kama EVERTON ni timu bora je Man City & Spurs watakuwa nani?
Coz utakumbana nao karibuni!!!
Naona unafurahia historia uliyoikuta hujawah shuhudia team yako inanyanyua kwapa miaka inakata tuMOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - #Arsenal
-
MOST FA CUPS
1. 13 - #Arsenal
1. 12 - Mancester United
3. 8 - Tottenham Hotspurs
-
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
-
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - #Arsenal
-
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - #Arsenal
-
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
-
And you think Chelsea is a football
club in London?
Chelsea is a night club so don't compare cheshit
with the kings of England and the only king in London (Arsenal)