Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwanza sasa hivi sisi mashabiki wa chelsea tumesahau huko Europe league tunachezesha mabeki wakaa bench
Kwa kocha mwingine angeendelea kutumia wachezaji wale wale anaotumia kwenye EPL
Kitu ambacho kingewachosha mno wachezaji wa kikosi cha kwanza
Sarri anajua team inakabiliwa na mashindano mengi mno kwa hiyo anachofanya ni kutuaminisha hata wale wakaa bench wanaweza kufit kwenye mfumo wake kitu ambacho amefanikiwa japo kuna makosa mengi ambayo yanazibwa na umiliki wa mpira kwa kiasi kikubwa
Kikosi anachotumia EPL kama angekitumia kwenye Carabao Cup na europa league basi ungekuta tushajichokea kama Liverpool kwenye EPL
Nimpongeze Sarri kwa maono ya kukigawa kikosi chake kutokana na michuanokuwa mingi kwenye kikosi chake
Tusisahau pia FA cup iko njiani inakuja
 
Chelsea wamepanga kuwapeleka mashabiki wao Auschwitz kupata elimu ya namna ya kushangilia katika uwanja wao wa Stamford Bridge bila kuleta vurugu ili kupunguza vifungo ambavyo timu hiyo inakumbana navyo. (Sun)
Afadhali ya Chelsea wameliona hilo, huko nyuma kulifikia wakati mashabiki wa Liverpool wakapigwa ban na baadhi ya nchi kwa sababu ya ushabiki usio wa kistaarabu. Ulevi, mauaji na mambo mengi machafu yalisababisha wapigwe ban ya miaka kadhaa. Mfano ni ile fainali ya UEFA ya wakati huo kati ya Liverpool na Juventus ambapo mashabiki wa Liverpool walivamia eneo la mashabiki wa juve na saga hiyo ikasababisha ukuta kuanguka na kuua mashabiki wengi hasa kutokla Italy. Timu zote za Uingereza zilifungiwa kwa miaka mitano mapak 90-91 ndipo wakafunguliwa. Pia 89 kwenye FA final Kati ya Liverpool na Nottingham Forest mashabiki wa liverpool walisababisha vurugu mpaka mashabiki 96 wafariki dunia. Ziko cases nyingi zilizotokea na posibly inaweza tena kutokea kwa sababu mashabiki wa Liverpool bado wanafanana na walewale has kwenye proud inayowafanya wawazarau timu pinzania kwa kejeli na fujo.
 
Maurizio Sarri
4 Match of Europa League : Bate Borisov Chelsea 0-1
‘I think we didn’t play very well, I didn’t like the first half because we moved the ball only horizontally and slowly, so it was hard to be dangerous. It was better in the first 20 minutes of the second half but we didn’t manage the last 15 minutes well. The best thing about this evening was the result.It wasn’t easy to play a good game here, it was all the conditions to play badly, but I think we could have done better.Giroud He’s a very important player for us, he’s very useful for the team but I know very well that strikers want to score, and so for his confidence it’s very important. But I don’t want him to be worried about scoring because for us he’s very important.’
#cfc
Hii ya kucheza horizontally ndio nilisema huko nyuma kuwa unamiliki mpira 74% horizontally, haina madhara yeyote
"...we moved the ball only horizontally and slowly, so it was hard to be dangerous"
Wakati BATE wao wakipata mpira walikuwa very dangerous.
 
Majogoo leo yanaongoza ligi na ndiyo itakuwa imetoka hadi May
Namfunga Fulham bao nyingi sana leo
Nani sasa anaweza sema hapa kama hayaogopi majogoo?
 
Afadhali ya Chelsea wameliona hilo, huko nyuma kulifikia wakati mashabiki wa Liverpool wakapigwa ban na baadhi ya nchi kwa sababu ya ushabiki usio wa kistaarabu. Ulevi, mauaji na mambo mengi machafu yalisababisha wapigwe ban ya miaka kadhaa. Mfano ni ile fainali ya UEFA ya wakati huo kati ya Liverpool na Juventus ambapo mashabiki wa Liverpool walivamia eneo la mashabiki wa juve na saga hiyo ikasababisha ukuta kuanguka na kuua mashabiki wengi hasa kutokla Italy. Timu zote za Uingereza zilifungiwa kwa miaka mitano mapak 90-91 ndipo wakafunguliwa. Pia 89 kwenye FA final Kati ya Liverpool na Nottingham Forest mashabiki wa liverpool walisababisha vurugu mpaka mashabiki 96 wafariki dunia. Ziko cases nyingi zilizotokea na posibly inaweza tena kutokea kwa sababu mashabiki wa Liverpool bado wanafanana na walewale has kwenye proud inayowafanya wawazarau timu pinzania kwa kejeli na fujo.

Wacha Kujifanya unajua wakati hujui lolote...
Kuhusu 1985 vurugu na Washabiki Wa Juventus Ni sawa umefanikiwa Kugoogle...

Lakini Kuhusu Kufa kwa Washabiki 96 hapo umeingia chaka kajaribu Kugoogle tena umepotea njia..

Kipindi Hicho Viwanja vya Mpira ilikuwa vinaruhusiwa kuto kuekwa Viti hatimae Washabiki Walikuwa Wanasimama Majukwaani bila ya Kukaaa na Kupiga Mdedea Wa Kurukaruka ndiyohapo Jukwaa likakatika Kwani lilikuwa Overcrowded..
Sasa hiyo Story ya Vurugu sijui umeipatia wapi??? Yani wewe ndiyo mwanadamu Wa Kwanza Kuandika kuwa Washabiki 96 Wa Liverpool wamekufa kwa Vurugu.

Kagoogle tena.

Na jengine Nikwamba Liverpool walikosa ustaarabu Miaka 30 iliyopita na siyo sasa, Lakini Nyinyi Munakosa Ustaarabu 2018 kiasi ya Kwamba Munafundishwa ustaarabu Wa Kushangiria sasa! Sasa sisi tulitoka katika ujinga lakini nyinyi ndiyo mupo katika Ujinga.

Halafu Inapokuja issue ya Chelsea hapo Liverpool ilihusikaje? Au aliyeleta hiyo habari Kasema imetungwa na Liverpool?
Acha mipasho ya Kike bhana Si kila jambo uihusishe Liverpool.
 
Hii ya kucheza horizontally ndio nilisema huko nyuma kuwa unamiliki mpira 74% horizontally, haina madhara yeyote
"...we moved the ball only horizontally and slowly, so it was hard to be dangerous"
Wakati BATE wao wakipata mpira walikuwa very dangerous.
Makini kk

Wap eden kimario
 
Wacha Kujifanya unajua wakati hujui lolote...
Kuhusu 1985 vurugu na Washabiki Wa Juventus Ni sawa umefanikiwa Kugoogle...

Lakini Kuhusu Kufa kwa Washabiki 96 hapo umeingia chaka kajaribu Kugoogle tena umepotea njia..

Kipindi Hicho Viwanja vya Mpira ilikuwa vinaruhusiwa kuto kuekwa Viti hatimae Washabiki Walikuwa Wanasimama Majukwaani bila ya Kukaaa na Kupiga Mdedea Wa Kurukaruka ndiyohapo Jukwaa likakatika Kwani lilikuwa Overcrowded..
Sasa hiyo Story ya Vurugu sijui umeipatia wapi??? Yani wewe ndiyo mwanadamu Wa Kwanza Kuandika kuwa Washabiki 96 Wa Liverpool wamekufa kwa Vurugu.

Kagoogle tena.

Na jengine Nikwamba Liverpool walikosa ustaarabu Miaka 30 iliyopita na siyo sasa, Lakini Nyinyi Munakosa Ustaarabu 2018 kiasi ya Kwamba Munafundishwa ustaarabu Wa Kushangiria sasa! Sasa sisi tulitoka katika ujinga lakini nyinyi ndiyo mupo katika Ujinga.

Halafu Inapokuja issue ya Chelsea hapo Liverpool ilihusikaje? Au aliyeleta hiyo habari Kasema imetungwa na Liverpool?
Acha mipasho ya Kike bhana Si kila jambo uihusishe Liverpool.
Si ulishasema huta quote posts zangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom