Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

chelsea_MOSCOW.jpg

Laiti tukiwa na timu kama hii plus Sarri!
 
MOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - #Arsenal
-
MOST FA CUPS
1. 13 - #Arsenal
1. 12 - Mancester United
3. 8 - Tottenham Hotspurs
-
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
-
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - #Arsenal
-
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - #Arsenal
-
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
-
And you think Chelsea is a football
club in London?
Chelsea is a night club so don't compare cheshit
with the kings of England and the only king in London (Arsenal)
Hizo zote zilipendwa, zama za kale
 
Kila timu ina possibility ya kudraw na au kuangukia pua
Hii hali tuitarajie muda mfupi ujao kwa timu hizi zinazomfukuzia Man city
  1. Man united hoi
  2. Arsenal hoi
  3. Spurs hoi
  4. Liverpool hoi
  5. Chelsea dull
Woote hao wanafukuzia championship wala hakuna contentor wa ubingwa kwa squad zilivyo na hali ya kusuasua
hapo arrangment ya nafasi ya 2-4 ni ya kubahatisha tu maana ya kwanza ni City
 
Liverpool unaombea asue sue lkn Mungu anawaumbua,nikirudi international break nacheza na trashes Watford,Everton,Burnley,Bourma etc!
Hapo nani sasa wa kunizuia?
 
Baada ya International break mtacheza na Spurs na Man City!
Natanua gap hadi points 8 na mnajitoa wenyewe ktk title contender!
Niliwaambia mapema sana mwaka huu jengeni team kwanza lkn mwakani mtakuwa wazuri mkimleta namba 9 mpya !
 
Kila timu ina possibility ya kudraw na au kuangukia pua
Hii hali tuitarajie muda mfupi ujao kwa timu hizi zinazomfukuzia Man city
  1. Man united hoi
  2. Arsenal hoi
  3. Spurs hoi
  4. Liverpool hoi
  5. Chelsea dull
Woote hao wanafukuzia championship wala hakuna contentor wa ubingwa kwa squad zilivyo na hali ya kusuasua
hapo arrangment ya nafasi ya 2-4 ni ya kubahatisha tu maana ya kwanza ni City
Chelsea haimfukuzii mtu mzee
Kwanza hata top 4 hakuwekwa na wachambuzi kote duniani
Chelsea anachofanya ni saprise tu kwa wachambuzi hao
Tuna misheni yetu ya kuhakikisha tunaingia top 4 swala la ubingwa hilo ni baadae sana
 
Sisi bado tuna kikosi kipana sana na tunaweza kushangaza hawa fan boys wa klopp na Mourihno kwa kuwafunga man city ..

Kama wao wameshiñdwa sisi tutafanya kweli.
 
Tulia wewe unafungwa na timu ya jeshi cjui la nchi gani uko halafu unategemea kunyanyua kwapa.

PSG/NAPOLI wanakuja ...

Europa patakuhusu.

Sasa PSG tulishampiga tatu sasa sjui ingekuwa nyie wazee wa kudraw na Everton mngeweza hahahaha
 
Baada ya International break mtacheza na Spurs na Man City!
Natanua gap hadi points 8 na mnajitoa wenyewe ktk title contender!
Niliwaambia mapema sana mwaka huu jengeni team kwanza lkn mwakani mtakuwa wazuri mkimleta namba 9 mpya !

Hahahaha walikuwa wanasema Harzard atavunja record ya Mosalah mwaka huu
 
O
MOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - #Arsenal
-
MOST FA CUPS
1. 13 - #Arsenal
1. 12 - Mancester United
3. 8 - Tottenham Hotspurs
-
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
-
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - #Arsenal
-
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - #Arsenal
-
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
-
And you think Chelsea is a football
club in London?
Chelsea is a night club so don't compare cheshit
with the kings of England and the only king in London (Arsenal)
ondoa zilipendwa hapa itabaki story tu wakati wenu ulisha pita, ukipitwa na wakati unakubali king ambaye miaka 14 hajui epl?
 
Kama CFC FAN game tatu tumecheza mpira hovyo ni hizi
; -
1 westham
2 bate
3 everton

Chanzo

Kocha kuwawek willian na haard + kovacic in first eleven
Inatakiwa mmja wao atoke benchi akiwa amesoma game

Mashambukiz ya pemben yamepitwa na wakat hii si la liga tunaitaji mashambuliz kutoka kat
Maan pemben hakun mtu mzur wa kumalizia
Mashambulizi ya pembeni yamepitwa na wakati...? Acha utani wewe...

Hebu muangalia Pep anachokifanya pale city kisha ndio utajua kwanini Mane na Mo hawakosekani sana ktk first eleven...
 
Sarri ndo msimu wake wa kwanza huu hata Pep alisua sua lakn akasajili sasa hivi ndo kama tunavyo muona.

Tatizo sasa hivi ni Willian (uchoyo) na Morata (Utoto). RW bora kwa Chelsea sasa hivi ni Pedro au Odoi. Willian na Moses tuwauze. CF ndo tatizo lingne Morata alikuwa na offside 5 na kujiangusha mpaka refa anamzoea. Kuna occasion moja ilikuwa ni penalty kabsa lakn Morata kazoewa kwa kuanguka.

Full backs wetu bado sana. Azpilicueta mfumo unamkata sana. Ashazoea 3 backs. Cross zake hazina madhara hata kidogo. Alonso kukaba ni tatizo na hata cross zake.

Kingine nachokiona sarri anachukulia Europa league serious kichiz maana Jorginho Jana alikuwa tired kwa kucheza game siku zote (alhamc na Jana) Kante tu ndo naona ana uwezo wa kucheza hvyo maana ana mapafu matatu (natania).

Nafasi nyingi lakn hatufungi (Willian na Morata) ni tatizo. Nataman cku moja nione front three (Hazard... Odoi... Pedro) kama hatutafanya usajili
 
Jorginho passes in the PL:

Huddersfield - 66
Arsenal - 99
Newcastle - 173
B'mouth - 79
Cardiff - 92
West Ham - 180
Liverpool - 73
S'hampton - 91
Man Utd - 74
Burnley - 102
Palace - 107
Everton - 50
#CFC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom