Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

There’s a lot of talk about Kante’s role and a solution to him being uncomfortable further forward, and his strengths not utilised.

We don’t swap him with Jorginho (for obvious reasons). Only solution I see to that is going 4-2-3-1. Jorginho and Kante both utilised.
 
Baada ya International break mtacheza na Spurs na Man City!
Natanua gap hadi points 8 na mnajitoa wenyewe ktk title contender!
Niliwaambia mapema sana mwaka huu jengeni team kwanza lkn mwakani mtakuwa wazuri mkimleta namba 9 mpya !
Usisahau hujacheza na Everton, Watford, Wolves na hata Bornamouth
 
Sisi bado tuna kikosi kipana sana na tunaweza kushangaza hawa fan boys wa klopp na Mourihno kwa kuwafunga man city ..

Kama wao wameshiñdwa sisi tutafanya kweli.

City wana quality as a team ukija kwenu anaetegemewa ni Hazard
Morata na Willian ndio watawasumbua beki ya City?

Mechi ngumu hiyo, quality mnayo kwenye kiungo na kidogo Forward. Ili msichezewe inabidi mrudi tu kupaki kama alivyofanya Conte na hasara ya zaidi ya hapo ni kuwa nyinyi ni kama Liverpool tu hamna Viungo wa kuwa 'suppliment' Forward line yenu.
 
Stop comparing Pep & Sarri

Pep in his 1st season struggled to get his team playing his style & over 3yrs, he has make the team his with quality signings, meanwhile Sarri inherited shit players. His genius has taken us to 18games unbeaten.

Back him in the summer & he'll deliver.
 
Nimejibu swali kulingana na jinsi ulivyouliza, huu msimu ni mrefu sana.

Ila mimi Sera yangu huwa ni kufurahia kulingana na wakati niliopo.

Mambo ya msimu kuisha yatajisettle, hainizuii kushangilia leo kisa tu sijui mwisho wa msimu utakuwaje.
Una enjoy moments while unajua mwisho wa msimu yatakua ni yale yale misimu iliyopita.
 
Stop comparing Pep & Sarri

Pep in his 1st season struggled to get his team playing his style & over 3yrs, he has make the team his with quality signings, meanwhile Sarri inherited shit players. His genius has taken us to 18games unbeaten.

Back him in the summer & he'll deliver.

Most of these players you call shits won EPL 2 seasons back with this same team, players like Willian, Hazard, Kante, Fabrigas, Pedro, Luis, Alonso, Azpilicueta, Moses.

You call these players shits!
 
Kunawakati nnamisi diego Costa mnyama huko alipo hana enjoyment yoyote, mechi kama ya West Ham na everton tungeshinda 1-0 safi
 
Kunawakati nnamisi diego Costa mnyama huko alipo hana enjoyment yoyote, mechi kama ya West Ham na everton tungeshinda 1-0 safi

Mpaka msimu inaisha utakuwa umewakumbuka hadi kina Drogba, Kalou, Tore Andre Flo, Gudjohnsen, Jimmy Hasselbaink nk

Maana ukame wa magoli unakuja soon...
 
Usisahau hujacheza na Everton, Watford, Wolves na hata Bornamouth

Hizo mechi liver atazoea points 12 za bure! Hata hao Everton juzi nimeona mpira wao wa kawaida sana tatzo foward zenu zilikuwa zinachezea nafasi nyingi sana kule mbele
 
Hizo mechi liver atazoea points 12 za bure! Hata hao Everton juzi nimeona mpira wao wa kawaida sana tatzo foward zenu zilikuwa zinachezea nafasi nyingi sana kule mbele
Hizi over-confidence ndizo zinaletaga magonjwa ya moyo. Muwe makini sana wanaocheza kule uwanjani ni akina mane, mo, firmino, milner, anderson, keita
 
Usisahau hujacheza na Everton, Watford, Wolves na hata Bornamouth
Points zetu 12 hizo
Mechi ngumu iliyobaki ni na Man U sababu sisi ni wapinzani wa jadi!
Hao sijui akina Wolves napiga nyingi tu
Nani sasa hapa hayaogopi majogoo?
 
Hizi over-confidence ndizo zinaletaga magonjwa ya moyo. Muwe makini sana wanaocheza kule uwanjani ni akina mane, mo, firmino, milner, anderson, keita

Umekosea kidogo! Kuna mtu anaitwa Shaqir umemsahau sasa chukua Salah + Mane +Firmino then ongeza shaqir unadhan kuna team itapona hapo?

Golini mkute Alson bila kusahau VanDik na Gomez, Mkuu sio masihara hakuna mtu wa kupona
 
Maurizio Sarri
Ameweka record msimu wake wa kwanza EPL kwa kufikisha match 12 bila kupoteza mchezo
oscaroscarjr___BqG0zZCgxlR___.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom