Ndio mataongoza mkuuLeo tukishinda halafu man city akafungwa tutaongoza ligi wakuu? au!
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kwa mara ya kwanza mtu kamkataa HazardPedro alitakiwa kuanza hii game, sijui kwanini kocha akamuanzisha Willian. Ningekuwa mimi natoa Willian na Hazard halafu natia Pedro na Giroud baada ya hapo ni mipira ya juu vichwa kumalizia
Naendelea kukazia1. Chelshit haimalizi ligi top3
2. Hazard hafikishi goals 20
May 2019
Kwa mara ya kwanza mtu kamkataa Hazard
Sijui mmEverton wana Idrissa Gueye ambae ana tacke success rate ya 74% na ndio maana umemuona Hazard alikuwa hajaribu kumdribble huyo jamaa, na jamaa walikuwa wanakaba haswa unafikiri solution ni nini
Tupo mkuu. Ndiyo hali ya mchezo.Wameukimbia Uzi teh teh teh teh teh teh 😀😀😀
Hazard hakuwa na shidaKwa mara ya kwanza mtu kamkataa Hazard
Ya pili. Nyie mmetoa draw ngapi??Hivi niwaulize nyinyi Mabingwa watarajiwa Wa Msimu huu "Ni mechi yangapi hii ya EPL munatoa draw ndani ya Darajani?"
Kuwaza ubingwa wakati hata top 4 hatukutajwa ni Uoga huoLeo ndio siku tumeukosa ubingwa wa mwaka huu
Tumia Lugha nzuri mkuuIvi HAZARD alikuwemo leo?
Moto Wa mabua bhana utaujua tu 😀😀
Eti goli 30+ ...! Kwani goli 30+ ni Matako ya Wabongo kama ukitoka nje unayaona. 😀😀😀
Kweli mkuu.Kila kitu kilikuwa sawa uwanjani
Tatizo ni kutumia nafasi tu kwa players wetu View attachment 930069