Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mou huwa ana strategy nzuri na game kubwa usihofu anaweza fungwa lakn pia droo haiko mbali
Pep anamjua sana Mou walipocheza nusu fainali za UEFA 2010, Pep akiwa na Barca na Mou akiwa na Inter Milan walipotolewa kwa mabasi yaliyopakiwa mwanzo mwisho wa mchezo pale Camp nou
Sehemu tu ambapo Pep kamzidi Mou ni kwenye michuano ya Laliga, Pep ana kama game 2 za ziada alizompiga Mou akiwa na Real Madrid. Ila akiwa Inter ilikuwa Mou kashinda 3-1 na pep karudisha 1-0 ila hakuweza kuendelea kwenye fainal. Akiwa Man u kuanzia 2016 michezo yote ni piga nikupige, Pep anaanza halafu Mou analipiza. Kwa hiyo kuna kila dalili leo Pep akashinda ila wakikutana tena ni kisasi juu ya kisasi
 
Mohamed “one season wonder” Salah has now the same amount of goals as Eden “best in the league” Hazard....
 
Hivi niwaulize nyinyi Mabingwa watarajiwa Wa Msimu huu "Ni mechi yangapi hii ya EPL munatoa draw ndani ya Darajani?"
 
Pedro alitakiwa kuanza hii game, sijui kwanini kocha akamuanzisha Willian. Ningekuwa mimi natoa Willian na Hazard halafu natia Pedro na Giroud baada ya hapo ni mipira ya juu vichwa kumalizia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom