eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Watoto hawalali na pesa siku zot
Hakuan chga radhiTuombe radhi washabiki sote Wa soccer kwa kumueka CR7 a.k.a Mmorocco mbele ya Messi.
Kiwango cha mchezaji hatuwezi kurule out kwenye few matches, at least msimu uishe ndio tuseme ameshukaHakuna cha uchelsea ndugu neymar kiwango hakipo kwa sasa Mpaka mbape anamfunika kwa sasa
Yaani mbape kwa sasa ana kiwango kumzidi neymar
Ukweli lazima usemwe
Neymar anajuta kutoka Barca, ameanza kuomba kurudi na kwa sasa Barca wanafikiria. Tetesi zinaonyesha kuwa pamoja na ligi kutokuwa na ushindani piua Mbape ni tishio la Neymar pale PSGPSG ni team isiyo na ushindani pamoja na mastaa wote wale?
Karabao Cup Quarter Final
- Arsenal vs. Tottenham Hotspur
- Leicester City OR Southampton vs. Manchester City OR Fulham
- Middlesbrough vs. Burton Albion
- CHELSEA vs. AFC Bournemouth
Wamejifunga vipi sasaYaani Chelsea wamefunga goli moja kati ya matano leo!
We haikuhusu hii sherehe tulishakutupa nnje ya mashindano kwa kichapo murua kabisa na kikosi hiki hiki cha wakaa benchKama namuona Man City akilibeba hili kombe!!!!
Acheni kuloga.Kama namuona Man City akilibeba hili kombe!!!!
Mwanzo ulisema bingwa ni wewe Liverpool leo unashabikia man cityBingwa wa Carabao cup anacheza leo wengine Ahsanteni kwa kushiriki
Kwa timu zilizobaki Carabao cup hakuna timu ya kumfunga Manchester city hakuna Mkuu Eden KimarioMwanzo ulisema bingwa ni wewe Liverpool leo unashabikia man city
Sio kuloga hakuna timu ya kumsumbua Manchester city Bingwa wa Carabao cup ni CitizenAcheni kuloga.
Wewe endelea kupiga ramli ..sisi tunaendeleza kampeni za ushindi.Sio kuloga hakuna timu ya kumsumbua Manchester city Bingwa wa Carabao cup ni Citizen