Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Antonio Conte has ruled himself out of running for Real Madrid manager’s job. [Sky Sports]
Nimesoma taarifa za leo Conte kafunga ukurasa kwa kukataa ofa ya Florentino Perez ataendelea kupumzika mpaka msimu wa kiangazi ndipo atafute ajira
 
Victor Moses is among the attackers on his Manchester United's shopping list, which also includes Frankfurt’s Ante Rebic and Cengiz Under from Roma.

{Sport Bild}
 
Carabao Cup today
thebluflu_2___BpmZ0u2AD_t___.jpg
 
Hata neymar hastahili kuwa namba tatu
Messi
Ronaldo
Hazard
Mbape
Neymar

Usimbeze Neymar! Ni injury tu ndiyo zimemuandama nakumfanya asiwe na msimu mzuri tokea last season...
Lakini anapokuwa Fit huwezi kumuondosha nyuma ya Messi na Ronaldo.

Kwasasa Top 3 ni Messi → Rinaldo → Neymar.
Baada ya hapo ndiyo wanafuata Hazard → Mbappe.

In Case of Best dribblers basi inakuja hivi Messi → Neymar → Hazard → Mbappe → Ronaldo.
 
Nasemaje top 3 yangu ni hii kwa sasa
Messi
Ronaldo
Hazard
Neymar tupa Mpaka nafasi ya tano kiwango kikirudi tutamrudisha
 
Ronaldo hapo juu mnamuweka kwasababu ipi

Na Kwasababu gani asiwekwe? Mimi si muamuzi Wa chochote lakini Ukiniuliza nani anastahili Ballon D'Or basi sipati kigugumizi nitakwambia Ronaldo kwasababu nimekiona alichokifanya mpaka Real ikabeba CL. Huyo Modric anayepewa Promo na Perez na FIFA Yake ni Sinema za Kibongo tu.
 
Usimbeze Neymar! Ni injury tu ndiyo zimemuandama nakumfanya asiwe na msimu mzuri tokea last season...
Lakini anapokuwa Fit huwezi kumuondosha nyuma ya Messi na Ronaldo.

Kwasasa Top 3 ni Messi → Rinaldo → Neymar.
Baada ya hapo ndiyo wanafuata Hazard → Mbappe.

In Case of Best dribblers basi inakuja hivi Messi → Neymar → Hazard → Mbappe → Ronaldo.
Neymar hana dribbling kumzidi hazard mkuu tafuta takwimu
Hazard anazidiwa na messi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom