eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Ila wewe tu Liverpool ndio ungekuwa na uwezo wa kumfunga ila ukakutana nawababe wakakufungaKwa timu zilizobaki Carabao cup hakuna timu ya kumfunga Manchester city hakuna Mkuu Eden Kimario
Basi jua hata city anafungwa tu tena kiurahis sana