Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa wakati umeshaingiza Uchelsea itabidi nikuache tu uendelee Mimi ninaishia hapa.
Hakuna cha uchelsea ndugu neymar kiwango hakipo kwa sasa Mpaka mbape anamfunika kwa sasa
Yaani mbape kwa sasa ana kiwango kumzidi neymar
Ukweli lazima usemwe
 
Hakuna cha uchelsea ndugu neymar kiwango hakipo kwa sasa Mpaka mbape anamfunika kwa sasa
Yaani mbape kwa sasa ana kiwango kumzidi neymar
Ukweli lazima usemwe
Neymar alichoboa ni kujiangusha kombe la dunia lakin kwamba kiwango kimeshuka hapana kwa sasa macho yapo kwa mbape kwa kuwa anachipukia lakin neymar akiwa ktk timu yenye ushindani ni habar nyingine
 
Neymar alichoboa ni kujiangusha kombe la dunia lakin kwamba kiwango kimeshuka hapana kwa sasa macho yapo kwa mbape kwa kuwa anachipukia lakin neymar akiwa ktk timu yenye ushindani ni habar nyingine
PSG ni team isiyo na ushindani pamoja na mastaa wote wale?
 
Chelsea team to face Derby:

Caballero
Zappacosta, Cahill (C), Christensen, Emerson
Kante, Fabregas, Kovacic
Loftus-Cheek, Morata, Willian #CFC
 
Vikosi
 
Attachments

  • IMG-20181031-WA0024.jpg
    IMG-20181031-WA0024.jpg
    67.1 KB · Views: 28
Cahill katika ubora wake wa kutoa Maboko, nafikiri huyu jamaa hastaili tena kuanza mechi ya EPL
 
One of the worse performance from Cahill .. poor marking ,snail pace , yaani nafikiri baada ya hii performance ya Leo hawezi pata nafasi hata kwenye quarter final ya Carabao
 
Chelsea - Derby thoughts:

- Loftus-Cheek good again
- Kovačić good, but shooting isn’t
- Cahill is just bad now, simple
- Christensen not good
- Zappacosta helpful but shaky in D
- Cesc backed up Jorginho well
- Morata = Ok
- Feel bad for Tomori
- Mason Mount is so damn legit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom