Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kufarijika Kwa Zamu Mkuu Mentor
• Tulicheza Chelsea vs Liverpool , Man City alikaa pembeni Kwa Kufurahia Droo ili iwe faraja Kwake.

• Tumecheza Liverpool vs Man City Chelsea mumekaa Pembeni Kuvizia Droo ili iwe faraja Kwenu.

√ Sasa Na Mimi I'm waiting for Chelsea vs Man City kusubiri matokea yoyote hapo ili nifarijike.

Kucheka Kwa Zamu! Huenda Namimi Nikachekea Droo au Mmoja Kati yenu Kupoteza.
Kabisa hi itakuwa lini....ungeanza na man u..next game
 
The Captain John Terry Baada ya kuachana na kusakata kabumbu
Screenshot_20181008-202806.jpg
 
Kwahiyo unamaanisha Kipindi Hicho Liverpool atakuwa Ameshaachwa Kwa Points Nyingi ama?

Yani wewe na watu Kama wewe Huwa Ni Kituko Linapokuja Suala la Soccer.

Kwenye EPL 2018/19
Liverpool:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu Alizotoa Sare: Mancity & Chelsea

Chelsea:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: West Ham & Liverpool

Man City:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: Wolverhampton & Liverpool

Sasa Hapo Nipe Points za Stats au Za Kisoccer zinazoonesha Kuwa ikifika December Liverpool Mutamuacha Mbali.

• Hivi Haiwezekani Chelsea Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa mbali?
• Haiwezekani Kwa Man City Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa Mbali?
• Kwanini iwe Liverpool tu?

Munadhani Liverpool Kudraw na Chelsea na Man City Ndiyo Ubovu Wa Timu au Ubora Wa Timu? Coz Draw haihesabiwa Kwa Timu moja tu Bali inahesabiwa Kwa Timu zote Mbili zilizotoa Sare.

Kama Wewe Ni Muangalizi Wa Mpira Basis unkiiangalia Ratiba Hii Tuliyopitia vs Spurs, PSG, Chelsea (Carab), Chelsea (EPL), Napoli na Man City basi hapo utajua Wazi Kuwa tumepita Katika Fixture Ngumu ambayo Kwa Timu Ya Kawaida tu isingevuuka Kwa Kufungamana points Kileleni.
Hapo Tumeenesha Kukomaa na Improvement ya hali ya juu.

Sasa Katika Kipindi Hicho unachoona Kuwa Hatutokuwa Karibu Yako ujue Kuwa Fixtures yetu Ni ya Kawaida ambayo haitatupa tabu yoyote.

Usijeshangaa Wewe unaejiona Utakuwa Top ukajajikuta Hata Arsenal Yupo Juu yako.

Mpira si maneno.
Aisee kuna mahala nimekukoti weye?


Mbona unapenda kujiona weye wa pekee sn na kusiliba maoni ya wengine?
Unawasema wenzako vituko hukuona vituko vako jana Kwa Soton? Usichopenda kutendewa wewe usiwatendee wenzako. Nimerusha jiwe ktk giza nashangaa limekupata weye....
 
Vovote vile mkuu, Mimi nililusha jiwe ktk Giza nimefurahi limempata mtu.... Maana ukiona vituko mtu anafikiria mpk tarehe 8 December aone matokeo yetu na City wakati huo hafikirii huu mgagade mgagade wa kukabana koo utakua umeachia kiasi gani....


Ndio vile Sarri na Zola hawataki kabisa kutoka hapo juu au kuachia kombe lolote Kwa wataamua wenyewe na team zao zenye wachezaji wachache.. Wakija mbele yetu fyekelea mbali huko...
Nafikiri mtoa hoja hakuwa na maana ya kuwa Liverpool watakuwa nyuma na wewe una tatizo la prejudicate.
Alichoandika ni kuwa watakuwa wametofautiana kwa hiyo inaweza isiaffect msimamo wa ligi
Kwa December Liverpool inaweza kuwa nyuma sana au mbele sana
 
Haukuhitaji maoni kwa sababu ulisha judge na hili ni jukwaa la Chelsea kila member anaweza kukupa taarifa unapoboronga kama hutaki baki huko kwenu
Kwa kwa kwa kwa kwa, hao watu niachie Mimi mkuu. Unarusha mawe tu gizani unashangaa limetoka na mtu...


Au sio Mh diwani Malafyale??
 
Msimu wa kwanza wa Sari akimaliza Ligi juu ya Klopp mtatuponesha kweli
 
Hazard on Courtios' style departure: “I don’t want that. I want what’s good for me but I want what’s good for the club bcos they've given me everything. I don’t want to say “yes I am signing a new contract” and then I don’t end up signing. So I will see.”
 
Mbona ulishindwa kuwafunga kwako mechi muhimu ya EPL?
Ata kombe la mbuzi walicheza na wakafungwa...... Kombe la mbuzi baada ya kutolewa ha ha ha ha.

Hazard mapenati aliwafanya vibaya... Nyie endelee kufuga vibushuti viemoro vibaunsa kina Shaqira km stage show wa Empire bakuba a.k.a Pepe Kale, Kabasele ya Mpaya

Sarri Ball utaipenda bhana.......
 
Hazard: Real Madrid move remains my dream
Kweli Ng'ombe wa maskini hazai
Bye bye Hazard
Lkn mtamrudisha Batshuay
January anaondoka kwenda zake Madrid
Huko nyuma nilishasema Hazard anachotaka ni maslahi tu, Real Madrid dream ni mbinu tu. Pia alikuwa na Dream ya kuwa chini ya Zizu ambaye sasa hayuko RM. Mastaa wangapi wana dream za kucheza RM au Barca? wameshia wapi. Maslahi hufuta ndoto zotre bhana
 
Kepa ‘Every player settles into a new league in different ways. David De Gea is a team-mate with the national team and we get on really well. When I signed for Chelsea, he gave me some advice, telling me a bit about how it was for him when he came here.’ #CFC

Kepa ‘It’s a good thing to interact with a top goalkeeper who has so much experience in the Premier League. ‘You need a little time, the usual sort of time it takes to get to know your team-mates and the league itself, but it’s all good generally, I’m very happy.’

Kepa “Of course, he has been here for years now and is playing at a fantastic level. We were at the World Cup together and had a good chat about the differences between Spanish and English football.”🔥👏💙
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom