OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mipango ya Hazard kutimkia Madrid imezidi kupamba moto maana yeye kanukuliwa akisema ..hawezi kuondoka January bali atabaki mpka mwezi wa sita ndipo kutakuwa na uwezekano wa kuondoka.
Amedai kwamba Madrid ni timu ya ndoto yake tangu akiwa mtoto...
Amedai kwamba Madrid ni timu ya ndoto yake tangu akiwa mtoto...