Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Captain, Leader, Legendary John Terry
Thanks for everything my leader
images(16).jpg
 
Premier League title battle is still a two-horse race - Alan Shearer

The top of the Premier League could not be much tighter, with only two points separating the top five teams, but I still cannot see beyond a two-horse title race between Manchester City and Liverpool.

'Chelsea can challenge, but they rely heavily on Hazard'

Hazard has done it before for a whole season, of course, when he helped Mourinho and then Antonio Conte bring the title to Stamford Bridge. If he can do that again, they have a chance of being champions - possibly.

But my worry with Chelsea is where their other goals will come from if Hazard stops scoring as regularly, because their main strikers Olivier Giroud and Alvaro Morata are not exactly prolific.

I also have my concerns about Sarri's side defensively, namely with David Luiz playing in a four-man defence.

Saints exposed them at the back but missed two sitters, firstly through Danny Ings to go 1-0 up and then when Ryan Bertrand could have equalised.

Yes, Chelsea are still unbeaten and Sarri has made an impressive start, but they are still a work in progress compared to City and Liverpool, who remain the teams to beat.

-By Alan Shearer

Mnaonaje maoni ya huyu gwiji la zamani, yuko sawa?
Mimi naona yuko sawa lakini hayuko fair
Weaknesses walizonazo Chelsea hata Liverpool wanazo kwa staili nyingine

Mfano Liverpool hawako vizuri kwenye viungo na mpaka sasa Klopp bado hawezi kupanga timu vizuri kwa sababu ya hiyo
Pia liverpool wanamtegemea sana Mo Salaha ambaye kwa sasa bado hajarudi kwenye form yake na hatujui itamchukua muda gani ili arudi
Tatu yeye hakuweka consideration ya dirisha dogo la january kwamba inaweza kubadilisha form ya Chelsea
Kwa maoni yangu kila timu pale juu ina mapungufu yake including city ambayo ikikutana na physical team hawawezi kuposes kama jana Liverpool walivyowafanya mpaka wakawa wanategemea kuotea kwa counterattack
Kwa upande wa Defence kwa kweli Rudiger ni beki mzuri ila bado anahitaji uzoefu na speed katika kukabiliana na opponent wenye kasi
 
TAKWIMU ZA ULINZI (DEFENCE):

Tackles:
1. Idrissa Gana Gueye - Everton (37)
2. Aaron Wan-Bissaka - Crystal Palace (32)
3. Mohamed Diame - Newcastle (31)
4. Ricardo Pereira - Leicester (30)
5. Will Hughes - Watford (29).

Blocks:
1. James Tarkowski - Burnley (16)
2. Shane Duffy - Brighton (15)
3. Ben Mee - Burnley (11)
4. Christopher Schindler - Huddersfield (11)
5. Wesley Hoedt - Southampton (9).

Clearances:
1. Steve Cook - AFC Bournemouth (63)
2. Fabian Balbuena - West Ham (62)
3. James Tarkowski - Burnley (61)
4. Sean Morrison - Cardiff (55)
5. Sol Bamba - Cardiff (54).

Headed Clearances:
1. James Tarkowski - Burnley (37)
2. Ben Mee - Burnley (36)
3. Shkodran Mustafi - Arsenal (33)
4. Nathan Ake - AFC Bournemouth (31)
5. Sol Bamba - Cardiff (31).
Kweli nimeamini chelsea haijui kuzuia siku hizi ni mbele kwa mbele tu
 
Mpk wakati huo December team zitakua zimeachana points. Zitakua sio zote timu tatu zimefungana point km ilivyo sasa hivyo matokeo yoyote wakati huo yanaweza yasiwe na manufaa Kwa Liverpool.

Kwahiyo unamaanisha Kipindi Hicho Liverpool atakuwa Ameshaachwa Kwa Points Nyingi ama?

Yani wewe na watu Kama wewe Huwa Ni Kituko Linapokuja Suala la Soccer.

Kwenye EPL 2018/19
Liverpool:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu Alizotoa Sare: Mancity & Chelsea

Chelsea:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: West Ham & Liverpool

Man City:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: Wolverhampton & Liverpool

Sasa Hapo Nipe Points za Stats au Za Kisoccer zinazoonesha Kuwa ikifika December Liverpool Mutamuacha Mbali.

• Hivi Haiwezekani Chelsea Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa mbali?
• Haiwezekani Kwa Man City Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa Mbali?
• Kwanini iwe Liverpool tu?

Munadhani Liverpool Kudraw na Chelsea na Man City Ndiyo Ubovu Wa Timu au Ubora Wa Timu? Coz Draw haihesabiwa Kwa Timu moja tu Bali inahesabiwa Kwa Timu zote Mbili zilizotoa Sare.

Kama Wewe Ni Muangalizi Wa Mpira Basis unkiiangalia Ratiba Hii Tuliyopitia vs Spurs, PSG, Chelsea (Carab), Chelsea (EPL), Napoli na Man City basi hapo utajua Wazi Kuwa tumepita Katika Fixture Ngumu ambayo Kwa Timu Ya Kawaida tu isingevuuka Kwa Kufungamana points Kileleni.
Hapo Tumeenesha Kukomaa na Improvement ya hali ya juu.

Sasa Katika Kipindi Hicho unachoona Kuwa Hatutokuwa Karibu Yako ujue Kuwa Fixtures yetu Ni ya Kawaida ambayo haitatupa tabu yoyote.

Usijeshangaa Wewe unaejiona Utakuwa Top ukajajikuta Hata Arsenal Yupo Juu yako.

Mpira si maneno.
 
Tarehe 08 Disemba...saa kumi na mbili za jioni!

Muda huo huo utakuwa ukikipga na Bournemouth.

Bournemouth Ni Wa Kawaida tu.
Kwasasa Midtable Wa Kumuogopa Ni Wolverhampton tu anatisha ile mbaya Kwani walichowafanyia Man City na Man United wanaweza Kumfanyia na yeyote.
 
Kweli nimeamini chelsea haijui kuzuia siku hizi ni mbele kwa mbele tu

Takwimu za ulinzi Siku Zote zinakuwa Inversely Proportional na Ubora Wa timu.

Kila Timu ikiwa ina takwimu Kubwa Za Ulinzi Manake Hiyo Ni Mbovu inashambuliwa Sana.
Na Ndiyomana Vibonde ndiyo Wanaoongoza Hapo Kwenye Takwimu.

Timu ikiwa Bora huwa inatakwimu Ndogo za Ulinzi Kwani Mabeki na Kipa Huwa Ni Mara Chache Wanatestiwa.
 
Bournemouth Ni Wa Kawaida tu.
Kwasasa Midtable Wa Kumuogopa Ni Wolverhampton tu anatisha ile mbaya Kwani walichowafanyia Man City na Man United wanaweza Kumfanyia na yeyote.

Kwenye EPL mpaka kufika tar hiyo opponent mgumu ni Arsenal, though chochote kinaweza tokea lakini Liverpool haina schedule ngumu kipindi hiki ukilinganisha na iliyopita.
 
Kwahiyo unamaanisha Kipindi Hicho Liverpool atakuwa Ameshaachwa Kwa Points Nyingi ama?

Yani wewe na watu Kama wewe Huwa Ni Kituko Linapokuja Suala la Soccer.

Kwenye EPL 2018/19
Liverpool:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu Alizotoa Sare: Mancity & Chelsea

Chelsea:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: West Ham & Liverpool

Man City:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: Wolverhampton & Liverpool

Sasa Hapo Nipe Points za Stats au Za Kisoccer zinazoonesha Kuwa ikifika December Liverpool Mutamuacha Mbali.

• Hivi Haiwezekani Chelsea Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa mbali?
• Haiwezekani Kwa Man City Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa Mbali?
• Kwanini iwe Liverpool tu?

Munadhani Liverpool Kudraw na Chelsea na Man City Ndiyo Ubovu Wa Timu au Ubora Wa Timu? Coz Draw haihesabiwa Kwa Timu moja tu Bali inahesabiwa Kwa Timu zote Mbili zilizotoa Sare.

Kama Wewe Ni Muangalizi Wa Mpira Basis unkiiangalia Ratiba Hii Tuliyopitia vs Spurs, PSG, Chelsea (Carab), Chelsea (EPL), Napoli na Man City basi hapo utajua Wazi Kuwa tumepita Katika Fixture Ngumu ambayo Kwa Timu Ya Kawaida tu isingevuuka Kwa Kufungamana points Kileleni.
Hapo Tumeenesha Kukomaa na Improvement ya hali ya juu.

Sasa Katika Kipindi Hicho unachoona Kuwa Hatutokuwa Karibu Yako ujue Kuwa Fixtures yetu Ni ya Kawaida ambayo haitatupa tabu yoyote.

Usijeshangaa Wewe unaejiona Utakuwa Top ukajajikuta Hata Arsenal Yupo Juu yako.

Mpira si maneno.
Nafikiri mtoa hoja hakuwa na maana ya kuwa Liverpool watakuwa nyuma na wewe una tatizo la prejudicate.
Alichoandika ni kuwa watakuwa wametofautiana kwa hiyo inaweza isiaffect msimamo wa ligi
Kwa December Liverpool inaweza kuwa nyuma sana au mbele sana
 
Kwahiyo unamaanisha Kipindi Hicho Liverpool atakuwa Ameshaachwa Kwa Points Nyingi ama?

Yani wewe na watu Kama wewe Huwa Ni Kituko Linapokuja Suala la Soccer.

Kwenye EPL 2018/19
Liverpool:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu Alizotoa Sare: Mancity & Chelsea

Chelsea:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: West Ham & Liverpool

Man City:
Kacheza Michezo 8
Katoa Sare 2
Kapoteza 0
Ana Points 20
Timu alizotoa Sare: Wolverhampton & Liverpool

Sasa Hapo Nipe Points za Stats au Za Kisoccer zinazoonesha Kuwa ikifika December Liverpool Mutamuacha Mbali.

• Hivi Haiwezekani Chelsea Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa mbali?
• Haiwezekani Kwa Man City Kuwa yeye Ndiye atakaeachwa Mbali?
• Kwanini iwe Liverpool tu?

Munadhani Liverpool Kudraw na Chelsea na Man City Ndiyo Ubovu Wa Timu au Ubora Wa Timu? Coz Draw haihesabiwa Kwa Timu moja tu Bali inahesabiwa Kwa Timu zote Mbili zilizotoa Sare.

Kama Wewe Ni Muangalizi Wa Mpira Basis unkiiangalia Ratiba Hii Tuliyopitia vs Spurs, PSG, Chelsea (Carab), Chelsea (EPL), Napoli na Man City basi hapo utajua Wazi Kuwa tumepita Katika Fixture Ngumu ambayo Kwa Timu Ya Kawaida tu isingevuuka Kwa Kufungamana points Kileleni.
Hapo Tumeenesha Kukomaa na Improvement ya hali ya juu.

Sasa Katika Kipindi Hicho unachoona Kuwa Hatutokuwa Karibu Yako ujue Kuwa Fixtures yetu Ni ya Kawaida ambayo haitatupa tabu yoyote.

Usijeshangaa Wewe unaejiona Utakuwa Top ukajajikuta Hata Arsenal Yupo Juu yako.

Mpira si maneno.

Analysis ya mpira ni jambo pana sana. Naomba tuiangalie tena analysis hii.

1. Mtoa hoja uliyem-attack na kutuunganisha washabiki wote wa Chelsea unapaswa kumtaka radhi. Maneno yake yalikuwa, "... team zitakua zimeachana points..."

2. Tunapoongelea msimu wa mpira 2018/2019 tunaongelea mechi zote, za mashindano yote ambayo timu inashiriki na ambavyo ugumu/ushiriki wa mechi hizo unaweza kuathiri matokeo kwenye mechi nyingine.

3. Kwa kuangalia stats katika michezo yote ya msimu huu bado chances zinaonesha wewe utapoteza points faster than Chelsea. Au kwa maneno mengine, kwa kuangalia michezo yako ya mwisho kulinganisha na ya Chelsea...basi mtu anaweza ku-deduce kuwa Liverpool ana probability kubwa ya kupoteza points kuliko Chelsea.

CHELSEA LAST 5 GAMES: D W D W W

LIVERPOOL LAST 5 GAMES: W L D L D.

3. Tukiendelea na trend prediction (USISAHAU kuwa hizi zote ni probability na forecasting TU...hazimaanishi ni ukwli, ila zinasaidia kufanya POSTULATION).
Liverpool mpaka sasa;
IMEFUNGA magoli 19
IMEFUNGWA magoli 08
CLEAN SHEET 05.

Chelsea mpaka sasa;
IMEFUNGA magoli 22
IMEFUNGWA magoli 06
CLEAN SHEET 06.

4. LIVERPOOL ni timu ambayo iliamini baada ya dirisha la msimu wa kiangazi kufungwa kuwa imemaliza USAJILI. Wachezaji wake walionunua mpaka leo bado wanachezea benchi. Kwa mantiki hiyo tuna-assume kuwa walinunuliwa backup na sio upgrade ya kikosi kilichokuwepo.

CHELSEA kwa upande wake ilisajili wachezaji ambao walitakiwa kuwa upgrade kwa kikosi kilichokuwepo. Na mpaka sasa tumeona effect yao kwenye kikosi. Mategemeo ni kuwa, kadri wanavyoendelea kuzoeana, ubora utaongezeka, tofauti na hali kwa liverpool.

HATA HIVYO...ZOTE HIZI NI FORECASTING NA PROBABILITY...tunaweza kubishana mpaka kesho kutwa kwa kuwa SI uhalisia wa yatakayotokea.
 
Takwimu za ulinzi Siku Zote zinakuwa Inversely Proportional na Ubora Wa timu.

Kila Timu ikiwa ina takwimu Kubwa Za Ulinzi Manake Hiyo Ni Mbovu inashambuliwa Sana.
Na Ndiyomana Vibonde ndiyo Wanaoongoza Hapo Kwenye Takwimu.

Timu ikiwa Bora huwa inatakwimu Ndogo za Ulinzi Kwani Mabeki na Kipa Huwa Ni Mara Chache Wanatestiwa.
Uko sawa
Unajua nashangazwa mno na mabadiliko ya haraka ya wachezaji wetu
 
Analysis ya mpira ni jambo pana sana. Naomba tuiangalie tena analysis hii.

1. Mtoa hoja uliyem-attack na kutuunganisha washabiki wote wa Chelsea unapaswa kumtaka radhi. Maneno yake yalikuwa, "... team zitakua zimeachana points..."

2. Tunapoongelea msimu wa mpira 2018/2019 tunaongelea mechi zote, za mashindano yote ambayo timu inashiriki na ambavyo ugumu/ushiriki wa mechi hizo unaweza kuathiri matokeo kwenye mechi nyingine.

3. Kwa kuangalia stats katika michezo yote ya msimu huu bado chances zinaonesha wewe utapoteza points faster than Chelsea. Au kwa maneno mengine, kwa kuangalia michezo yako ya mwisho kulinganisha na ya Chelsea...basi mtu anaweza ku-deduce kuwa Liverpool ana probability kubwa ya kupoteza points kuliko Chelsea.

CHELSEA LAST 5 GAMES: D W D W W

LIVERPOOL LAST 5 GAMES: W L D L D.

3. Tukiendelea na trend prediction (USISAHAU kuwa hizi zote ni probability na forecasting TU...hazimaanishi ni ukwli, ila zinasaidia kufanya POSTULATION).
Liverpool mpaka sasa;
IMEFUNGA magoli 19
IMEFUNGWA magoli 08
CLEAN SHEET 05.

Chelsea mpaka sasa;
IMEFUNGA magoli 22
IMEFUNGWA magoli 06
CLEAN SHEET 06.

4. LIVERPOOL ni timu ambayo iliamini baada ya dirisha la msimu wa kiangazi kufungwa kuwa imemaliza USAJILI. Wachezaji wake walionunua mpaka leo bado wanachezea benchi. Kwa mantiki hiyo tuna-assume kuwa walinunuliwa backup na sio upgrade ya kikosi kilichokuwepo.

CHELSEA kwa upande wake ilisajili wachezaji ambao walitakiwa kuwa upgrade kwa kikosi kilichokuwepo. Na mpaka sasa tumeona effect yao kwenye kikosi. Mategemeo ni kuwa, kadri wanavyoendelea kuzoeana, ubora utaongezeka, tofauti na hali kwa liverpool.

HATA HIVYO...ZOTE HIZI NI FORECASTING NA PROBABILITY...tunaweza kubishana mpaka kesho kutwa kwa kuwa SI uhalisia wa yatakayotokea.

Tuliwanunua Wachezaji 4.
Alisson
Keita
Fabinho
Xhaqiri

• Alisson, Keita na Fabinho walinunuliwa Kwa ajili ya Kuanza kikosi Cha Kwanza! Hatimae Ni Alisson pekee ndiye aliyeanza.

• Xhaqiri walinunuliwa Kwa ajili ya Backup player.

Sasa Timu inawaengereza Wanataka Waengereza Wao Kina Henderson na Milner lazima Wacheze! Kwahiyo Klopp Kaishia Kuwauwa Keita na Fabinho Kwa Mikono Yake mpaka sasahivi hawafai tena.

Emre Can ndiyo lilimkimbiza hili kwasababu alijua mbele ya Henderson maishayake asingelicheza kikosi cha Kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom