Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu wakati wa mechi sikuwa na mtandao kabisa nikashindwa kusherehekea ushindi pamoja nanyi na kubadilishana mambo mbalimbali.

Kwa upande wangu nimeridhishwa sana na kiwango cha Barkley. Kuhusu kipa sina cha kusema sidhani kama kuna mtu ana mashaka naye tena. 3 point + clean sheet.

Hollaaa Blues
Sijui siku akipata injury hazard ushindi tutapataje maana the boy is every thing for chelsea
 
Krzysztof Piatek: Took just six minutes to score his 13th goal in 8 appearances since signing for Genoa!

vs Lecce
vs Empoli
vs Sassuolo
vs Bologna
vs Lazio
vs Chievo
vs Frosinone
vs Parma ️ and counting..
Huyu dogo ni mzur
Nimeangalia stats zake anajua sana. Sema tayari vigogo kama Bayern na Chelsea vishaanza kumtolea macho.
 
Tutashinda tu usiogope mbona mechi mbili za mwanzo alikuwa hachezi na tulishinda ushindi mzuri tu!!
Timu kwa sasa zinakamia mno tofauti na mechi zile za mwanzo hivyo ukikosa mchezaji mwenye creativity kama hazard ni ngumu kupata matokeo
 
Wakuu wakati wa mechi sikuwa na mtandao kabisa nikashindwa kusherehekea ushindi pamoja nanyi na kubadilishana mambo mbalimbali.

Kwa upande wangu nimeridhishwa sana na kiwango cha Barkley. Kuhusu kipa sina cha kusema sidhani kama kuna mtu ana mashaka naye tena. 3 point + clean sheet.

Hollaaa Blues
Kepa kaonesha uhai aiseee. Leo kidogo awe man of the match
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom