Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Anajaribu kutikisa kiberiti huyu. Board impe maslahi mazuri because he is the best he deserve the best.
Huko nyuma nilishasema Hazard anachotaka ni maslahi tu, Real Madrid dream ni mbinu tu. Pia alikuwa na Dream ya kuwa chini ya Zizu ambaye sasa hayuko RM. Mastaa wangapi wana dream za kucheza RM au Barca? wameshia wapi. Maslahi hufuta ndoto zotre bhana
Anajaribu kutikisa kiberiti huyu. Board impe maslahi mazuri because he is the best he deserve the best. View attachment 891546
Pia Mukumbe Na Huko Real Nako Kuna Maslahi Hayo Munayoyazungumzia tena Makubwa tu.
Na ingawa Chelsea Ni Timu Tajiri yenye uwezo lakini Sidhani Kama ipo tayari kulipa Kama Real, Barcelona au Man United.
Man U inamlipa Mchezaji Wa Kawaida tu Sanchez £500K per week lakini sidhani Kama Chelsea inaweza kumlipa Hata Hazard hela Kama hiyo.
Kwahiyo Labda abakie Chelsea Kwa Mapenzi Yake na timu tu... Lakini Mukitaja Maslahi basi Chelsea hamuna ubavu Wa Kushindana na Real Kwa Kumpa Hazard Maslahi.
Zote hizo ni propaganda za kutaka mshahara mkubwa. Utaona itakavyokuwa. Kwa kuwa Real wenyewe bado wanapiga danadana wamchukue nani kati ya Hazard, Mbappe na Neymar...
UMRI na BEI ndivyo vitakavyoamua. Wachezaji wengi wana ndoto za Barcelona na Real Madrid...ila si wote wanaoishia huko!
Liverpool team zenye njaa njaa na kocha asiekua na nguvu ndio hua zinauza wachezaji wao key players.
Suarez, Rahim Sterling na Coutinho na Sarafina ataondoka tu.
Angalia hizi speculation za Hazard zimeanza leo kwani?
Agalia Thibaut kaondoka vipi? Ilikua mgagade mgagade kweli...
Sisi tunajenga timu ili tuweze kuwin makombe wao wanajenga wachezaji na kuwauza ndio maana hakuna ata kombe wanalo win.
Firmino vs Morata
He na hilo jiwe nililorusha gizani limekupata?Matic muliemuuzia Manure hakuwa Key player?
Alivyoondoka Court ndiyo alivyoondoka Coutinho na Starling..
Haikuwa kazi rahisi.
na nnachowapendea Bournemouth hawachelewi kumjambisha mtu...!!!!Tarehe 08 Disemba...saa kumi na mbili za jioni!
Muda huo huo utakuwa ukikipga na Bournemouth.
Sitakusahau ulivyotukosesha usiku ule ndoo ya UEFA mwaka 2008!Captain , Legend , Leader View attachment 891151
= 0*
=18000*
= 4543*Hazard has confirmed that he won't leave Chelsea in January but he has also mentioned that he wants to move to Spain to win Ballon d'Or
[Latest Interview with Sky Sports]