Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maana au asili ya Liverpool
Live -Ver -Pool
Shortly Living in a pool or muddy waters
 
Niliyoyanasa kwenye press Conference ya Sarri kuelekea Chelsea vs Liverpool
Kesho saa 1:30 usiku
Nimeyaandika yale ya muhimu tuuh siyo yote

1. Kuhusu Hazard
Sarri amesema Hazard ni bora na anaamini ni miongoni mwa wachezaji bora kwenye na ametuonyesha ubora kwa 75-80% anatakiwa apambane 100% ...
Pia sarri anakiri kuwa Hazard ni mpambanaji sana katika mechi na sio sana kwenye mazoezi na anasema anatakiwa ajitume kote ili awe bora zaidi ,Sarri anasema Hazard ana mengi ya kufanya kwa ajili yake,pamoja na timu na uongozi pia hivyo Sarri anataka vyote na anaweza kuwa bora zaidi...

2. Kuhusu Klopp na Liverpool
Sarri anaweka wazi kuwa Klopp ni kocha bora duniani na aliyejipanga kuchukua premier league au Uefa na pia anasema Liverpool ni timu ya daraja la juu na wamefanya kazi na kocha wao kwa miaka 4 hivyo kesho utakua mchezo mgumu
Baada ya kuulizwa kuhusu ushindi wa jumatano Sarri amesema kuwa, hii ni mechi nyingine na katika mashindano mengine na pia inawezekana kikosi cha kwanza kikawa chengine,Nadhani watataka kushinda baada ya mechi ya Jumatano ila mechi itakuwa ngumu kwetu na wao pia

3. Kuhusu Garry Cahill na Fabregas
Sarri amesema amefurahishwa na kiwango chao na walicheza dakika 90 hadhani kama watakuwa tayari kucheza dakika 90 nyingine ila nitawatumia sana msimu huu

4. Kuhusu Cahill kuondoka Januari
Nimeongea nae na nadhani kuna mwezi wa 10,11,12 ,Nadhani anatakiwa asubiri na sisi tusubiri ila Januari ni mbali ,anakiri kuwa amefurahishwa kuhusu kiwango chake j5 na anadhani atakuwa na msaada msimu huu

5. kuhusu Rudiger
Sarri amesema alifanya jana mazoezi na timu awamu ya pili na kuna uwezekano akapona haraka baada ya majeraha aliyoyapata Vs Westham ila tusubiri mazoezi ya mwisho labda atakuwa timamu

6. Kuhusu Christensen
Sarri anasema hakupata majeraha ila alipatwa na maumivu ya tumbo lakini hakujeruhiwa


7. kuhusu Pedro na Rudiger
Sarri amesema kuwa wote wamefanya mazoezi jana na wapo tayari kwa kiasi fulani na watasubiria mazoezi ya mwisho ila bado hajafanya maamuzi hasa kwa rudiger hivyo anasubiria mazoezi ya mwisho inawezekana akawa timamu
IMG-20180928-WA0005.jpg
 
Sarri: “We want to win. But the history of this club is a little bit strange. 14/15, I think 87 points. 15/16 50 points. That's very strange, with the same coach and the same group. Then 93 points (in 16/17), then 70 points last season with the same coach and group"

"So the numbers of this group are a little bit strange. I need to understand why. I am studying. I think that these numbers tell us something. I don't know what, at the moment. But I want to understand and I want to help my players to be at the same level."

Sarri: "Maybe if you are lucky or unlucky, you can gain 85 points or 80, but the difference in one season is 43 points! I have to understand why. Then, if I am able to do it, I have to help my players be at the same level for a long period."

Sarri: “I don't know. I don't know [if the players have an attitude problem], because they usually have training very well with continuity. So the attitude is good. There is probably something from the mental point of view. I have to understand it.” #cfc
 
Sarri on captaincy: "I want to speak with my club face to face before I tell you my decision. I think it's right the club knows my decision before the journalists. It has been impossible in the last two or three weeks, but I think it will be possible next week.”

Sarri: “I think that the market is not the only solution. I think we need the team only to work. I think we can improve by working every day. So it's only a question of time. Time and work. Maybe the market, sometimes, is the solution."

Sarri on Chelsea's level: "We have to see the match of tomorrow. Because the other match was unusual. We've changed 8 or 9 players. They've changed 8 players, I think. So we have to wait for the match tomorrow, and then we will see our position compared to the level of Liverpool"

Sarri: "Liverpool, at the moment, and City are the top level in England. Maybe in Europe. So I am waiting for tomorrow.”
 
Eden Hazard says he will no longer perform his signature knee-
slide celebration due to the damage it is doing to his body.

"Look, look, the celebration - the sliding knee," Hazard said to
Chelsea TV, gesticulating at his bruised legs. "I need to stop this.
"My knees - they are on fire! No more of this celebration."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom