Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Ile draw na westham ilitokana na uchovu wakucheza mechi ya futuhi. Kama uliangalia ile game wachezaji hawakuwa katika ari ya mchezo.WestHam mbona hakumiliki mpira
Ile draw na westham ilitokana na uchovu wakucheza mechi ya futuhi. Kama uliangalia ile game wachezaji hawakuwa katika ari ya mchezo.WestHam mbona hakumiliki mpira
He! Tangu lini kwenye soka droo ikawa ni ushindi? Hammers walipata pwenti 3 eti!Kwani Hammers waliidhibiti Chelsea na kushinda?
Hammers walikua wanatafuta sare tu na walipoipata kwao ndio ulikua ushindi.
Soma between lines. Nimesema walikua wanatafuta sare. Na walipoipata kwao ndio ulikua ushindi.He! Tangu lini kwenye soka droo ikawa ni ushindi? Hammers walipata pwenti 3 eti!
Jamaa si mpenzi sn wa kujipigia ma promo na vyombo vya hbrLeo Sarri mwenyewe ndiye atakuwa kwenye prematch press conference...mida ya baadaye mchana kwa masaa yetu.
Bora useme boby. Ila salah wauzieni singidaLiverpool anampiga Chelsea Jumamosi,hamna team pale jamani tuwe wakweli
Kweli Luizi na Rudiger ndiyo wakumzuia Booby na Salah wanaunguruma?
Why do i keep hearing people say Christensen was bad? other than that passback he was good, was vomiting at halftime which makes performance even better. His passing was good, he covered & wasnt caught out, one on one defending good. Hes 22 & defends better than Luiz.
Kama morata na giroud aucoBora useme boby. Ila salah wauzieni singida
Yeah, ni kwelErrrr kwa nguvu alizidiwa sana na Shaqiri.
Ni mzuri ila bado hajafikia level ya Luiz.
Ni ukweli, kwa performance yake akiendelea kupata nafasi akaongeza confidence na nguvu anaweza kuja kuwa bora kuliko Luiz.
Jambo lingine, D. Luiz ana offer attacking pia. Anaweza kutoa pass ambazo mpaka sasa Christensen hajawahi fanya.