Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,006
- 4,617
# SARRI: Wewe njugu mawe Mimi sio
Southampton usinizoee hakuna kambale yeyeyote
atakaepona kwa hii formula ya SARRIBALL
# KLOP: Ila mzee mwenzangu lile pira mlilopiga
mpaka nikawa nasikia kizunguzungu hongera
mkuu
#SARRI: Acha mawenge wewe hapo ndio kwanza
asilimia 35% wachezaji wamenielewa je ikifika
75% Si mtaandamana?
#KLOP: Mzee nimegee basi ka formula kako au
naomba daftari lako la formula nikatoe photocopy
chonde chonde
#SARRI: Usijali Ila uwe unapiga MSWAKI dogo
KLOP: Sawa mvuta maugoro SARRI
Nyie cheltako saiv mnachonga sana ila jumamosi lazima tuwakate makende!!