Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani ukifungwamo CARABAO ile UNBEATEN
yako EPL inakua inaondoka???? Mmecheza na
LIVERPOOL MABORESHO ile jana..... Hivi nyie
WOWOWO mmeshawahi kushinda ALLISON
BECKER akiwa Golini???
waulizeni wenzenu SPURS watawaambia
LIVERPOOL ni timu ya aina gani inapofika
kwenye EPL msimu huu..... Hivi vikombe vya
kucheza FAINALI tumeamua kuachana navyo coz
havisaidii vibarua vya watu
...... Kwani unadhani MORINYO hana CARABAO
CUP lakini MANURE wanataka kumtimua???
WENGA msimu uliopita alicheza FAINALI ya
CARABAO CUP baadae wakamtimua aseee.....
Hakuna kombe Fainali yake ikachezwa
FEBRUARY buana nyie WOWOWO...... Tukutane
JUMAMOSI mkiwa na kila mtu na cc tukiwa na
Watu asee
Nmesoma pumba zako. Unachekesha kwan Chelsea alichezesha first eleven yake?
 
Kwani ukifungwamo CARABAO ile UNBEATEN
yako EPL inakua inaondoka???? Mmecheza na
LIVERPOOL MABORESHO ile jana..... Hivi nyie
WOWOWO mmeshawahi kushinda ALLISON
BECKER akiwa Golini???
waulizeni wenzenu SPURS watawaambia
LIVERPOOL ni timu ya aina gani inapofika
kwenye EPL msimu huu..... Hivi vikombe vya
kucheza FAINALI tumeamua kuachana navyo coz
havisaidii vibarua vya watu
...... Kwani unadhani MORINYO hana CARABAO
CUP lakini MANURE wanataka kumtimua???
WENGA msimu uliopita alicheza FAINALI ya
CARABAO CUP baadae wakamtimua aseee.....
Hakuna kombe Fainali yake ikachezwa
FEBRUARY buana nyie WOWOWO...... Tukutane
JUMAMOSI mkiwa na kila mtu na cc tukiwa na
Watu asee

Subiri maumivu Jumamosi, acha kuongea bila kushirikisha ubongo wako. Haya mambo hayataki hasira.
 
What a pride, what a feeling being a #Chelsea fan.
Liverpool had not lost a match at Anfield since January 2018 and other short stories.

Good morning haters( Chelsea fans in denial)
😀😀😀😀😀 Chelsea Fans in Denial
 
Jana nimeelewa kwanini Kante anacheza juu ya Jorginho.

Kama Sarriball ikiwa perfect inamaanisha pressing yetu itakuwa upande wa adui zaidi na hapo ndipo ufanisi wa Kante ulipo, kukata umeme hukohuko kabla ya kusubiri mashambulizi kuja kwenu.

Jorginho anabaki kusambaza mipira na kupanua uwanja.
 
Kwani ukifungwamo CARABAO ile UNBEATEN
yako EPL inakua inaondoka???? Mmecheza na
LIVERPOOL MABORESHO ile jana..... Hivi nyie
WOWOWO mmeshawahi kushinda ALLISON
BECKER akiwa Golini???
waulizeni wenzenu SPURS watawaambia
LIVERPOOL ni timu ya aina gani inapofika
kwenye EPL msimu huu..... Hivi vikombe vya
kucheza FAINALI tumeamua kuachana navyo coz
havisaidii vibarua vya watu
...... Kwani unadhani MORINYO hana CARABAO
CUP lakini MANURE wanataka kumtimua???
WENGA msimu uliopita alicheza FAINALI ya
CARABAO CUP baadae wakamtimua aseee.....
Hakuna kombe Fainali yake ikachezwa
FEBRUARY buana nyie WOWOWO...... Tukutane
JUMAMOSI mkiwa na kila mtu na cc tukiwa na
Watu asee
Jumamosi sio mbali mkuu Tusubiri tumuone Alison alivyo
Na vvd na gomez
 
Nawaza na kutafakari itakavyokuwa...ni mapema mno ila...

**nimesahau midfield ya Liverpool iliyoshinda mechi tano ilikuwa na kina nani...

20180927_152009.jpg
 
Na sisi..hiki ndiyo kikosi chetu...

Na bado wana mategemeo ya kutufunga kweli????????

Kuna watu wana roho ngumu eeh...

20180927_153618.jpg
 
"I think Liverpool will be more than happy with a 1-1 draw, that would be a great result for them." - Paul Merson
 
I think Hazard is the best player in the Premier League by a long way. I don't think anyone can do what he does and that's what makes him better than everyone else in my opinion. On Wednesday, he beat three players, passed it, got it back and then beat two more players before smashing it in the corner. For me, no one else can do that in the Premier League. There are players who can go past people but they haven't got that end product he's got.

P. Merson
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom