Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa sasa naona hazard yupo kwenye form ya hali ya juu sana toka aende kombe la dunia na kurudi kiwango chake kimeongezeka maradufu ukiangalia soka la ubelgiji na la sarri vinaendena kule henry anafanya yake kaja huku kakutana na hicho hicho wa kweli yupo vizur sana.
Hakika mkuu radika
 
Ila kiukweli natamani kufahamishwa kosa la Mignolet jana.

Ushabiki tuweke pembeni. Yale magoli aliyofungwa kuna kipa ambaye angeweza kuyazuia? Mathalan, Allison angekuwepo, ingesaidia chochote? Aje?
N

Natamani kweli kujibiwa hili bila ushabiki wa timu.

Cc: Malafyale, King Ngwaba, DON cleruzion
 
Watamlaumu kwa lipi sasa kwa migoli ya jana
La kwanza lilipigwa shuti kali akapangulia karibu ermason akamaliza
La pili labda niseme ilikuwa ngumu hata kuushika mpira wenyewe
 
Kwani ukifungwamo CARABAO ile UNBEATEN
yako EPL inakua inaondoka???? Mmecheza na
LIVERPOOL MABORESHO ile jana..... Hivi nyie
WOWOWO mmeshawahi kushinda ALLISON
BECKER akiwa Golini???
waulizeni wenzenu SPURS watawaambia
LIVERPOOL ni timu ya aina gani inapofika
kwenye EPL msimu huu..... Hivi vikombe vya
kucheza FAINALI tumeamua kuachana navyo coz
havisaidii vibarua vya watu
...... Kwani unadhani MORINYO hana CARABAO
CUP lakini MANURE wanataka kumtimua???
WENGA msimu uliopita alicheza FAINALI ya
CARABAO CUP baadae wakamtimua aseee.....
Hakuna kombe Fainali yake ikachezwa
FEBRUARY buana nyie WOWOWO...... Tukutane
JUMAMOSI mkiwa na kila mtu na cc tukiwa na
Watu asee
 
Ila kiukweli natamani kufahamishwa kosa la Mignolet jana.

Ushabiki tuweke pembeni. Yale magoli aliyofungwa kuna kipa ambaye angeweza kuyazuia? Mathalan, Allison angekuwepo, ingesaidia chochote? Aje?
N

Natamani kweli kujibiwa hili bila ushabiki wa timu.

Cc: Malafyale, King Ngwaba, DON cleruzion
Bao la kwanza mbele ya VVD huwezi piga kile kichwa
Bao la pili mbele ya VVD huwezi katiza vile
Tusiongee sana Jumamosi isha fika,Sioni sababu hata moja vikosi vya kwanza hizi teams zikicheza kama Liverpool atapoteza!
Sijaona bado!
 
Barkley kiwango chake kizuri sana mm napendelea aanze halaf covacic awe sub hyo jmosi
 
Bao la kwanza mbele ya VVD huwezi piga kile kichwa
Bao la pili mbele ya VVD huwezi katiza vile
Tusiongee sana Jumamosi isha fika,Sioni sababu hata moja vikosi vya kwanza hizi teams zikicheza kama Liverpool atapoteza!
Sijaona bado!
Mignolet anahusikaje na kutokuwepo kwa VVD?

Unasahau goli ya Hazard kaanza kupigwa tobo Firmino, kisha Keita kaachwa. Lawama mnampa Moreno peke yake.

Haya, jumamosi hatokuwepo Moreno ila hao Keita na Firmino watakuwepo.
 
Ila kiukweli natamani kufahamishwa kosa la Mignolet jana.

Ushabiki tuweke pembeni. Yale magoli aliyofungwa kuna kipa ambaye angeweza kuyazuia? Mathalan, Allison angekuwepo, ingesaidia chochote? Aje?
N

Natamani kweli kujibiwa hili bila ushabiki wa timu.

Cc: Malafyale, King Ngwaba, DON cleruzion

Mkuu mimi nimeyapokea matokeo as an L, so I won't debate more on them, am on to the next one.

Jumamosi tunacheza na ninyi kwenye EPL, ambako concentration na macho ya wana Liverpool wengi ndo yapo.

You deservedly won the game, conglats again.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom