eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
[emoji3] [emoji3] kiliendelea nini mkuuDani kaanza kucheka na nyie huko
[emoji3] [emoji3] kiliendelea nini mkuuDani kaanza kucheka na nyie huko
Kabisa mkuuTunahitaji striker wa maana. Hawa kina Morata wanatucheleweshea sana ushindi
Wakikanusha unitaq na mimiOne of the best in the world nani anabisha hapa View attachment 879066
Ulifika ulikokuwa unaenda..?jaman Chelsea napita tu kuwasalimia..........jogoo
Hahahaa badala yake kwako umekuwa wa motoHuu uzi utakuwa wa moto muda mfupi ujao!
Kwa sasa naona hazard yupo kwenye form ya hali ya juu sana toka aende kombe la dunia na kurudi kiwango chake kimeongezeka maradufu ukiangalia soka la ubelgiji na la sarri vinaendena kule henry anafanya yake kaja huku kakutana na hicho hicho wa kweli yupo vizur sana.Man of the match Eden Hazard kwa dk alizoingia inathibitisha haitaji dk nyingi uwanjani kukuonyesha yeye ni mchezaji boraView attachment 879081
Dk ya 84Hivi Salah aliingia dakika ya tisini na ngapi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] na kweli ngolo kante mwoga wa penaltyHazard asked by Sky what went through his mind for the goal:
“I spoke with N’Golo on the bench & he told me he didn’t want to take a penalty, so the only solution was to score!”
Alirudia njiani baada ya kuona mnyama Hazard kuingia uwanjaniUlifika ulikokuwa unaenda..?
Christiensen bado anahitaji kujifunza kwa LuizWhere are all those David Luiz Haters and Christensen supporters now?
Hapa nilikuwa nawarusha mashabiki wa LiverpoolHiyo 2.1 hujafafanua vinginevyo umebet vizuri
Asante mkuu donHongereni kwa ushindi, hongereni sana.
Tukutane Jumamosi.
Na yule Mane wao wanaomlinganishaga na Hazard yeye hakwepo uwanjani?Dk ya 84
Firmino dk 65
Keita alikuwepo
Milner alikuwepo
Sasa hivi wanamlilia van dick
Hahahaa radika vipi mkuu pole sana na kipigoWacheze 12 ndani sio?
Ermason do Santos inabidi sarriball aanze kumpa nafasi ni kipaji hikiView attachment 879070
Dah.... on pointWatabiri wametabiri 2-1
Na ushindi ni kwa mtu anaecheza nyumbani
Nakubaliana nae kabisa match kubwa humtangaza mchezaji zaidi kama ukizifunga hizoHazard on Chelsea TV: "I want to be a big player, if I want to big player, if I want to be a big player then I need to score in big games. That's what I did today." #CFC
Huyu dogo he needs more games..!Christiensen bado anahitaji kujifunza kwa Luiz