eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Chelsea wamepiga passes 335
Ah nimeishia ku stream tu. Na kesho naenda kununua line ya voda. Aisee airtel ni kichomi na limtandao lao.Sky sport main events
Huyu jamaa anataka kuwalisha watu matangopori tu.Nataka nikubaliane na wewe lakini nimekupuuza
Modric alikuwa na kila kitu kuliko Ronaldo hasa alipompiga chenga Ronaldo ni kwenye kombe la dunia
Aingie nani sasa mkuuToa Morata.
Hudson Odoi ama Hazard.Aingie nani sasa mkuu
Nafikiri goli tu ndio halijaingia ila tumewashikaView attachment 878877
Huyu jamaa anataka kuwalisha watu matangopori tu.
Hii ndio bomba na ndio naitumia mimi. Halafu wana commentator wanazungumza kiingereza.Ongezea na totalsportek.com
Tunahitaji striker wa maana. Hawa kina Morata wanatucheleweshea sana ushindiNafikiri goli tu ndio halijaingia ila tumewashikaView attachment 878877
Usizifanye hisia zako ndio kuwa maoni yako. Toa maoni kulingana na uhalisiaLet me Cut it short! You are right
Na magoli mangapi?Chelsea wamepiga passes 335 View attachment 878878
Sawa, koleza mkaaHuu uzi utakuwa wa moto muda mfupi ujao!
Kwani mtoto hakui?Watoto wataendelea kuwa watoto tu
Koleza kuni mjombaHuu uzi utakuwa wa moto muda mfupi ujao!