Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Ngoma ya kitoto haikeshi. Unafynkonyolewa hapohapo kwako. Ngoja tuendelee kutafuta kiki kwa wakubwa zetu. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli kabisa..watoto watabaki watoto TU.Watoto wataendelea kuwa watoto tu
jaman Chelsea napita tu kuwasalimia..........jogoo
Naomba uongee neno moja tu na Roho yako itaponaMapenzi Ni Kitu Chengine Mbali!! Hizi kweli Ni Stats za Kusema Umetushika???
Lakini Sishangai Kwako Possession/Pasi ndiyo Kukamata na Si Mashambulizi.
Umekuwa wa baridi gaflaHuu uzi utakuwa wa moto muda mfupi ujao!
David hater no mojaWhere are all those David Luiz Haters and Christensen supporters now?
Poleee nadhni ushajua tumekshika wapMapenzi Ni Kitu Chengine Mbali!! Hizi kweli Ni Stats za Kusema Umetushika???
Lakini Sishangai Kwako Possession/Pasi ndiyo Kukamata na Si Mashambulizi.
Hiyo 2.1 hujafafanua vinginevyo umebet vizuriWatabiri wametabiri 2-1
Na ushindi ni kwa mtu anaecheza nyumbani